boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Jamaa hajaanza Leo kubwia unga toka kipindi cha sikati tamaa ila kwa sasa limemkolea kutokana vyuma kukazaaa
Yap we unamfahamu vizuri Darasa ilikua suala la Mda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hajaanza Leo kubwia unga toka kipindi cha sikati tamaa ila kwa sasa limemkolea kutokana vyuma kukazaaa
Kupanda kwa muda na kuwika sanaaa afu akapotea hapa ndipo palipomdatisha na kuamua kukata tamaaYap we unamfahamu vizuri Darasa ilikua suala la Mda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiharageUlichokiandika umekisoma? Watu wakisema wewe ni mtoto wa watu watakuwa wanakosea?
Unaijuwa nguvu ya umma kiharage wewe?
huwa nawasaidia kufnya Kile wafnyachoWakati unawakuta we hua unafanya nini?
Kweli mkuu, kwahiyo USANII NI LAANA? Mbona wapo wanaojiheshimu na kujitambuakuhusu darasa ..c'na Uhakika nahilo ..lakini ngoja nikwambie jambo ..mtu yeyeto anayetaka kuwa msanii ni ambitious ..yaani usanii unalaana balaa nimekaa nao najua Tabia zao nimtihani mkuu " kama una busara na nimtu wa kumpenda Mungu huwezi maisha yao ..huwa wanapenda kujaribu kila aina ya starehe ..msanii kuliwa kiboga au kusagana .kuvuta unga .hilo nisehemu ya taasisi yao...so usimuamini hata mmoja wao
Lakini hapa katikati si kapiga pesa sana inamaana hakufanya cha maana cha kumuingizia pesa, Dah hawa wasanii bwanaKupanda kwa muda na kuwika sanaaa afu akapotea hapa ndipo palipomdatisha na kuamua kukata tamaa
Wadau wambeba wakapiga bao then wakamuacha jamaa baada ya kuanza kuchuja .mwamba hana pa kushika ameona ngada ndio pumziko lake
wachache mnooo kwakuwa wanauwezo wakuzishinda nguvu za ushetani ..lakini haimaanishi kuwa hawafnyi mambo ya ajabu ..wamjua brad pit yule aliyekuwa Mume wa Angelina jolie ..sasa yule alishawahi kufumwa na Mick Tyson akimgegeda mke wa Tyson ktk nyumba ya Tyson..tafuta kitabu cha Tyson utakutana na hiyo habari ..lakini ukimuona brad pit siwamuona kama mtu anaye jiheshimu mno tu..hata hao wanaojiheshimu ambao umekuwa unawaona wana mambo yao ya ajbu ambayo huwa wanayafnya lakini kwakuwaKweli mkuu, kwahiyo USANII NI LAANA? Mbona wapo wanaojiheshimu na kujitambua
Kapotezwa au kajipoteza? Kwani kashikiwa sindano ajichome?Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.
Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Mbona kuna watu kibao mtaani wanajiheshimu na wanatembea wake za watu. Wengine ni viongozi wa dini pia. Wasanii Ni watu wenye mapungufu kama sisi.wachache mnooo kwakuwa wanauwezo wakuzishinda nguvu za ushetani ..lakini haimaanishi kuwa hawafnyi mambo ya ajabu ..wamjua brad pit yule aliyekuwa Mume wa Angelina jolie ..sasa yule alishawahi kufumwa na Mick Tyson akimgegeda mke wa Tyson ktk nyumba ya Tyson..tafuta kitabu cha Tyson utakutana na hiyo habari ..lakini ukimuona brad pit siwamuona kama mtu anaye jiheshimu mno tu..hata hao wanaojiheshimu ambao umekuwa unawaona wana mambo yao ya ajbu ambayo huwa wanayafnya lakini kwakuwa
wamesha.
jitengenezea image nzuri ktk jamii huwa
hawapndi hayo mambo yao yafike kwenye media..refer tukio la kanumba na lulu ..
hivi huyo petii huwauzia wenzie tu ye hatumii au?huyo wa jina la mwisho ..yaani nina Uhakika kabisaaa ..wla hujakosea ndugu..Mara kibao huwa namkuta maskani ya B.O.B nyuma ya msikiti wa alharamain kinondoni mkwajuni akiwa kwa yule don wao muuza unga ..huwa nawakuta yeye pamoja na petie money
yule yeye ni punda .hata hao wenzie niliowtaja baadhi yao ni mapunda .but petie ameanza long tym maana mama yake ni bimkubwa mmoja Hivi balaaa mjnja wa mjini kinyamaaaaa ukijichnganya tu na ushamba wako wa kolomije hakawii kukuuzia coco beach kwa ml.5 hahaaaaahivi huyo petii huwauzia wenzie tu ye hatumii au?
Clouds Media Group.[emoji23][emoji23]Asante kwa tafsiri lakini yeye hujiita DarasaCMG na siyo SMG
Kwa hiyo Darasa yuko chini ya management ya Clouds Media Group?Clouds Media Group.[emoji23][emoji23]
Hapana,,nimetania tu ..ila ni Classic Music Group,,kama umefatilia nyimbo zake za mwanzo,,kwanzo mwa wimbo kuna sauti inasikika classic musicKwa hiyo Darasa yuko chini ya management ya Clouds Media Group?
Sasa mbona hujasemaPoleni kwa kujua darasa anabwia ngada Leo, wenzenu tangu mwaka 2012 tunajua