DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Duuuh.....mKuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.
Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Hivi kwanini watanzania tunapenda sana lawama....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.
Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
Ulichokiandika umekisoma? Watu wakisema wewe ni mtoto wa watu watakuwa wanakosea?Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (S,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.
Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
good one 😀Nguvu na umma anamaanisha nini, au ulitaka kuandika nguvu ya uume?
Ukweli kabisa tomasoHabari bila picha ni sawa na makamanda bila gwanda
Kuna Darasa alafu kuna Bill NasKwa wataalamu ukimtazama Darasa unajua kabisa kuwa anakula vyombo.