Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

ntamshangaa kama kaanza kuvuta maana kama show anapiga, ngoma zake zinachezwa redioni kama kawaida sa sijui hizo stress anazitoa wapi.
Asikudanganye mtu hao hawavuti unga sababu ya stress

1.starehe
2.mkumbo
 
Sikati tamaa, nishike mkono, mwambie mwenzio tangu anatoa hizi ngoma alikua mtumiaji wa madawa ya kulevya Mungu amsaidie aachane nayo ni msanii anayekubalika kwa sanaa yake.
 
Hata lady Jd kawa teja

-------------
Updates
Kawa teja wa mapenz sio unga
 
Kweli muda ni muamuzi mzuri sana....yalisemwa sana ya darasa nafukua makaburi kwanza
 
Reactions: Lee
Wasanii wa TZ kuna gharika walahi!
 
umbea
 
Kwamba hawezi tu kutumia madawa mpk arogwe ndiyo atumie?wabongo wengi hufanya mambo ya hovyo kwa matakwa yao kisha huingiza wachawi ili wajifiche na hatia.Yeye atumie tu maisha ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…