Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

Tetesi: Darassa (SMG) yasemekana amekuwa mteja

ntamshangaa kama kaanza kuvuta maana kama show anapiga, ngoma zake zinachezwa redioni kama kawaida sa sijui hizo stress anazitoa wapi.
Asikudanganye mtu hao hawavuti unga sababu ya stress

1.starehe
2.mkumbo
 
Sikati tamaa, nishike mkono, mwambie mwenzio tangu anatoa hizi ngoma alikua mtumiaji wa madawa ya kulevya Mungu amsaidie aachane nayo ni msanii anayekubalika kwa sanaa yake.
 
Hata lady Jd kawa teja

-------------
Updates
Kawa teja wa mapenz sio unga
 
29716915_227028474542097_303932828125495296_n.jpg
 
Kweli muda ni muamuzi mzuri sana....yalisemwa sana ya darasa nafukua makaburi kwanza
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wasanii wa TZ kuna gharika walahi!
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo Nyoso.

Yaan wabongo mmetumia nguvu ya Umma kuhakikisha mnampoteza darassa kwenye game.
umbea
 
Kwamba hawezi tu kutumia madawa mpk arogwe ndiyo atumie?wabongo wengi hufanya mambo ya hovyo kwa matakwa yao kisha huingiza wachawi ili wajifiche na hatia.Yeye atumie tu maisha ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom