Dari katika Ukumbi wa La Plata wadondoka wakati wa onyesho la filamu ya Final Destination: Bloodlines

Dari katika Ukumbi wa La Plata wadondoka wakati wa onyesho la filamu ya Final Destination: Bloodlines

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Hadhira ambayo ilikusanyika kutazama filamu katika Ukumbi wa La Plata huko Argentina walipata zaidi ya walichokilipia wakati wa kutazama filamu ya Final Destination: Bloodlines.
images - 2025-05-25T084039.608.jpeg

Katika hali ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida, sehemu ya dari ya ukumbi huo iliporomoka katikati ya filamu—kiasi kwamba ilikuwa ni chupuchupu kuondoka na roho ya mmoja wa watu waliokuwa ndani wakitazama filamu hii.
1748151601076.jpg

Kuna filamu zinabeba mambo ya kiroho mfano mzuri ni hii filamu, Final Destination: Bloodlines. ambayo watu wengi walionesha wazi kuwa sio filamu nzuri hata kidogo, ni filamu ambayo inatisha kuliko filamu yoyote katika filamu za Final Destination.
Final-destination-bloodlines-2025-cover.jpg

Hii inaitwa kusikia kwa Kenge ni mpaka atoke damu masikioni.
 
Back
Top Bottom