Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kha!! Mimi tena!! [emoji38][emoji38][emoji38] Hapana bwana

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Mr. UNKNOWN naona anakuja na revenge, kweli nimeamini visasi huwa haviishi.

Ila Mr. Borntown alichomfanyia 2015 sikutegemea kama angemsamehe kiurahisi hivyo, kuhusu kabla 2025 kuna mengi tutasikia hapo katikati.

2030 kijana wa Mr. Unknown naona akiwa the New CEO, yule bwana mdogo ni mtulivu na hana makuu na watu kabisa.

Morning Ms. Yoga 🥰
 
Tumia akili kule ameaga jumla! Huku pia kuna kuagana jumla. Unaweza kufikiri kuwa mbona siri zinatoka before execution kumbe leads zote ni fake isipokuwa the only message planned to leak ni "matokeo".

Nafikiri 2023 to 2024 vitazuka political wars ambazo pengine hatujawahi kushuhudia. CCM itapita kwenye tanuru itayoamua hatma yake. Chadema's fate ipo mikononi mwa Mbowe kama ata play smart na current situation.
 
Nimenusa vitu vingi sana kwenye hii kitu ambayo lengo kuu ni kuwaandaa watanzania kisaikolojia....Na watakaokuja na hizi topic ni watu kutoka angle mbalimbali na mitandao mbali mbali

Hii ni project ya muda mrefu na kama unaubongo wa kuku huwezi kuielewa ila Watanzania tuwe makini sana sana na tusipokuwa makini tunaenda kuvurugwa..

Kuna force ambayo iko nchi moja ya jirani ndio iko behind hii kitu na lengo ni kumplant mtu kutoka nchi jirani kuongoza hii nchi wakilichukulia advantage ya upepo wa kisiasa..
Nchi mbili jirani ni CIA agents na hii plan inakwenda kuwa excuted from head office hapo jirani...

Kama kweli the Late CEO (kama alivyokuwa blanded humu) alikuwa eliminated basi the one behind the show, ni hao hao with their long term plan, at the end of the day nchi itatekwa na wote tutakuwa mateka...TUWE MAKINI KUSHABIKIA HIVI VITU.....

huyu anayeitwa "Born town" tunaandaliwa tu kisaikolojia na huyu anayeitwa Mzee ambao wengi mmebland kama Mzee wa kusini wanaweza kuwa wahanga ili kuaminisha hizi hekaya kwa watu na watu muanini the mission done..
SKM gang watatumika hapa ila watakuwa overrun maana akili hamna wengi mang'ombe wanaowaza kuishi vizuri tu na jamaa wamepandikiza watu tele miongoni mwao, its long term plan wakichukulia advantage ya ukanda na mfanano wa makabila...

Tuwe makini Tanzania isije kugeuzwa mkoa wa nchi fulani and will be leading from headquater, watu wetu waamke sasa au labda ndio wameshatekwa nao maana wengi wanawaza kula bata na kuishi vizuri mjini tu ila userious na umakini zero....

Huyu anayeitwa "Born town" naye analijua hili si ajabu ndio muokozi wa hii nchi kutoka kwenye hesabu za wale jamaa chini ya yule jamaa "black cat".... Watch out...
 
Hadi sasa hujatambua kua hakuna chama pinzani hapa Tz, ila kuna biashara tu inafanyika?
 
Usipanic lad, kwanza badili hizo l weka r usomeke vizuri, kisha kuwa na amani nchi yako ipo mikono salama ya Mungu. Kama umeegemea the evil axis basi ji detach kisha ishi kama raia mwema, it is well with my country!
 
Acha porojo! Yan humu vijana tumekaa vijiweni tunajua yanayoendelea huko sirini, embu tufanyeni kazi tutafute pesa , tuache hizi porojo za kujifanya tunajua sana code na siri, kumbe huko wakuu wanaendelea na kazi kama.kawaida.
Si tunapunguza stress kwa tamthilia kama hizi? Maisha haya bila hizi simulizi utakufa kabla ya umri
 
Nimenusa vitu vingi sana kwenye hii kitu ambayo lengo kuu ni kuwaandaa watanzania kisaikolojia....Na watakaokuja na hizi topic ni watu kutoka angle mbalimbali na mitandao mbali mbali

Hii ni project ya muda mrefu na kama unaubongo wa kuku huwezi kuielewa ila Watanzania tuwe makini sana sana na tusipokuwa makini tunaenda kuvurugwa..

Kuna force ambayo iko nchi moja ya jirani ndio iko behind hii kitu na lengo ni kumplant mtu kutoka nchi jirani kuongoza hii nchi wakilichukulia advantage ya upepo wa kisiasa..
Nchi mbili jirani ni CIA agents na hii plan inakwenda kuwa excuted from head office hapo jirani...

Kama kweli the Late CEO (kama alivyokuwa blanded humu) alikuwa eliminated basi the one behind the show, ni hao hao with their long term plan, at the end of the day nchi itatekwa na wote tutakuwa mateka...TUWE MAKINI KUSHABIKIA HIVI VITU.....

huyu anayeitwa "Born town" tunaandaliwa tu kisaikolojia na huyu anayeitwa Mzee ambao wengi mmebland kama Mzee wa kusini wanaweza kuwa wahanga ili kuaminisha hizi hekaya kwa watu na watu muanini the mission done..
SKM gang watatumika hapa ila watakuwa overrun maana akili hamna wengi mang'ombe wanaowaza kuishi vizuri tu na jamaa wamepandikiza watu tele miongoni mwao, its long term plan wakichukulia advantage ya ukanda na mfanano wa makabila...

Tuwe makini Tanzania isije kugeuzwa mkoa wa nchi fulani and will be leading from headquater, watu wetu waamke sasa au labda ndio wameshatekwa nao maana wengi wanawaza kula bata na kuishi vizuri mjini tu ila userious na umakini zero....

Huyu anayeitwa "Born town" naye analijua hili si ajabu ndio muokozi wa hii nchi kutoka kwenye hesabu za wale jamaa chini ya yule jamaa "black cat".... Watch out...
umeeleweka.hkn kinachopuuziwa
 
Tumia akili kule ameaga jumla! Huku pia kuna kuagana jumla. Unaweza kufikiri kuwa mbona siri zinatoka before execution kumbe leads zote ni fake isipokuwa the only message planned to leak ni "matokeo".

Nafikiri 2023 to 2024 vitazuka political wars ambazo pengine hatujawahi kushuhudia. CCM itapita kwenye tanuru itayoamua hatma yake. Chadema's fate ipo mikononi mwa Mbowe kama ata play smart na current situation.
hao umewataja je umeona hayo maneno yameandikwa kwenye hii hadithi?
Kweli u GT sio wa wengi JF!!!!
 
Tulipokuwa tukiangalia series ya 24hrs tulijua main message na ikatokea. Kupitia hii hadithi nimeamua kutabiri kihalisia kwa nilivyoelewa hadithi kuna shida?

Tuko huru kutoa mawazo ndio maana wakati wa kupiga kura hatupimwi kiwango cha IQ.
 
Back
Top Bottom