Dark days 17/03/20...

Ni sahihi wanamkuza tu hana lolote kwanza kansa ya damu inammaliza taratibu. Kwisha habari yake. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 

Plan DRC ni kuidestabilize milele isitawalike...lakini ile Katanga province yoote kuja mapolini mpaka Goma mapolini huko kuna mining activities zinaendelea with giant mining companies bila kugushwa na yeyote...yule jamaa na yule jamaa kazi yao ni kuivuruga kila siku iwe kusuruhisha migogoro...na anyone inpower try to touch maeneo yao will be eliminated.....Unajua who is big boy aka the son aka the successor aka the said DNA but not.... akina nani walimplant na kukaa pale...?

Watu wanapita kwenye holes, and the holes are there...its long term plan inaitwa "confuse them and solve your problem.."...tayari ukisoma hata huu uzi utagundua kule mwanzo ndio Taifa lilipochanganywa na local rivals fighting each others now while the enemy is not there,...kuna mtu alimtengenezea holes huyo jamaa na huyo jamaa hana rafiki walipogeukana jamaa tayari ana plan ya kutimiza dream zake....(owning the east africa big farm) kutimiza project za mabwana zake while makin the small pond giant than the sea, this have got nothing to do for the big fishes in 1st world once their project done and the farm is under utilization..

Hizi nyuzi zitakuja nyingi sana, na watu jamii hii watakuja wengi sana its called "Confuse and making them believe while the truth is in dark" ukweli uko gizani kwa wanaoishi gizani...inaonekana wakati ni sasa kutimiza wa kupush button ili in 10 - 15yrs shamba lilimwe...Lets act smart...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…