Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hii inaitwa Mchuzi juu, kuna wakati unaweza kuogopa kujiandalia Meza ya Mboga 7 kwakuogopa kuitwa Fisadi, ukaamua kila kitu kiwekwe hapohapo, hii inaitwa Mchuzi juu. Ila tuwe makini, haka kanaweza kuwa kachakula kadogo kwenye Ndoano, ukikatia Mdomoni umekwisha.
 
Back
Top Bottom