Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Nachanganyikiwa, mtunzi wa hii riwaya nisaidie kitu. Old CEO na born town ni wahusika tofauti katika hii riwaya?Naimani Born town atamuwahi kumlambisha mchanga New CEO baadae atakalia kiti brother K ambaye atakua na swaga za late CEO ila gang la late CEO litakuja kulipa kisasi kwa born town.
Here we go!