Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Dume hilo, take care!YOGA leo anatua pale airport saa 8 mchana kutokea
NYC alikuwa ana-observe royal tour....!! ongera shostii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dume hilo, take care!YOGA leo anatua pale airport saa 8 mchana kutokea
NYC alikuwa ana-observe royal tour....!! ongera shostii
Ila tuseme ukweli yoga kuna muda kiingilshi unakosea japo watupa raha, siyo your it's you are.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa utunzi huu unadhani yoga ni mtu wa kukosea grammar?
He/She is more smart than we think.
Hata kama ningekuwa mimi ndo mleta mada basi ningewaletea both broken swahili and english mpaka mseme nimeishia la 4D[emoji23]
Huna baya na mtu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tuseme ukweli yoga kuna muda kiingilshi unakosea japo watupa raha, siyo your it's you are.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna baya na mtu!!
I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
Habari yako ndugu , Malaria Sugu amefia wapi aisee , hahahahThe Party is on .... get your mood right to jump and dance till morning lights.....[emoji6]
Mkubwa Mungu, binadamu wote ni mavumbi. Heshimu wote ibaada kwake yeye awezaye kuua mwili na rohoYoga Description from the story
1.Rangi ya chungwa macho mrembuo.
2.Hana shida na PESA coz anaishi Bure that means anahudumiwa KILA kitu.
3.Alikuwa kule USA majuzi KWENYE ule msafara wa Royal tour alituambia tofauti ya masaa ya kule na huku kwetu.
4.Alikuwa Bize na ishu za sensa za kitaifa wakati Mwingine anazidiwa na majukumu mengi!!
5.Ni mtu MZIMA Sana!hataki katoto na uzee huu ina Maana hataki kuzaa au menopause stage already.
6.kwenye KILA tukio la story yupo na anaeleza kama yeye ndiye anaerekodi KILA kitu hata ana Siri ZOTE kabisa za character na anapata taarifa zote za KILA kitu kana kwamba KWENYE KILA tukio yupo!!
7.Anakuwa bize Sana Hadi anakosa muda wa kuandika humu jamvini hata akiahidi muda FULANI hatokei kwasababu ya majukumu FULANI nyeti!!
TAHADHARI KWA MEMBERS HUMU.
yoga ni mtu mkubwa Sana na tunapiga story na mtu mwenye uwezo wa ku Access tulipo na kutufikia popote tulipo!Anzenie kuomba msamaha kama kuna mahali mme mis behave na tuwe makini kwenye uchangiaji huu uzi!!!
Kama pm yake inafunguka tuanze kuomba uteuzi au hata conection ya kazi nzuri Ili to beat mfumuko wa bei na msoto wa kitaa!!!
MTAZAMO HURU HUU!!
nguvu zote za Nini kwanini na wewe usimwage km ni mboga imebaki tuwekee, si lazima uingie PM kwa yogaYoga you are very busy and very limited. You are not reachable even through your pm, we really need to maximize
View attachment 2217470
Huyu jamaa naona kichaa..sasa hayo masuala ya membe humu ya kazi gani..na kwanza taarifa hizo za kitambo sana.Kaka humu tunasoma hadithi tamu tu ya kusadikika wewe tena unatuchanganyia habar zako za sias humu naona hazihusian
Anzia thread yako weka unatujazia tu space hapa
Hii ni kwasababu anaandika haraka haraka ili atupatie burudani sasa anajikuta maneno saa nyingine yanajibadili yenyewe na hana muda wa kufanya marekebisho. (Pengine ndio sababu mkuu).Ila tuseme ukweli yoga kuna muda kiingilshi unakosea japo watupa raha, siyo your it's you are.
Kuna mahala nimeongelea malipo?kuna sehem alitaka umlipe au....???
Kama na hapa mtu hajaelewa kweli atakuwa kiazi.Unknown ni D one ashumani.
Huyu jamaa naona kichaa..sasa hayo masuala ya membe humu ya kazi gani..na kwanza taarifa hizo za kitambo sana.
Au anataka kuhamisha magoli..?
#MaendeleoHayanaChama
Mbona mnalalamika baada ya kusoma, mngeruka tu mkamsubiri YogaHawa ndio wale wale na wanaosema lete namba tukutumie mchango