Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wewe huna macho bali una vidondaPeleka huko upumbavu wako.kama macho huna na msikio huna? Mbona kila kitu kiko wazo.hakuna kama jpm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna macho bali una vidondaPeleka huko upumbavu wako.kama macho huna na msikio huna? Mbona kila kitu kiko wazo.hakuna kama jpm
Inawezekana lakini nina ufahamu wa kujua wizi, uuaji na uongo wa JiweAllency wewe ni mzembe sana kichwa chako hakina ubingo bali kimejaa magimbi
1.5tr,mauaji ya Ben Saanane,kupigwa risasi Lissu na kupotea kwa Azori Gwanda.Inawezekana lakini nina ufahamu wa kujua wizi, uuaji na uongo wa Jiwe
1.5tr,mauaji ya Ben Saanane,kupigwa risasi Lissu na kupotea kwa Azori Gwanda.
Endelea kuota mkuu.Kumbe mzee kaimarisha mfumonwa ulinzi!!? Naamini hii story ni ya siku nyingi kidogo na sio ya juzi inafanywa kuwa ya juzi ILI kupoteza maboya wengi wetu!!!hakuna mission inayowekwa wazi KWA space ya muda mfupi hivi!!!INAWEZEKANA MISSION ISHAKAMILIKA ZAMAAANI SANA WANATAFUTA NAMNA YA KUTUTANGAZIA HITIMISHO KUU LA MISSION YENYEWE NA TUNAANDALIWA KISAIKOLOJIA KWA HAYO YOTE!!!
MkuuEndelea kuota mkuu.
Mkuu sie tuwe wapole tusbri uteuzi tu humu kuzito.Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
Enzi za Mwendazake msafara wa Mr. Born town ulikuwa gari 1 au 2 tu, asaiv ulinzi umeongezekaKumbe mzee kaimarisha mfumonwa ulinzi!!? Naamini hii story ni ya siku nyingi kidogo na sio ya juzi inafanywa kuwa ya juzi ILI kupoteza maboya wengi wetu!!!hakuna mission inayowekwa wazi KWA space ya muda mfupi hivi!!!INAWEZEKANA MISSION ISHAKAMILIKA ZAMAAANI SANA WANATAFUTA NAMNA YA KUTUTANGAZIA HITIMISHO KUU LA MISSION YENYEWE NA TUNAANDALIWA KISAIKOLOJIA KWA HAYO YOTE!!!
Alifanikiwa kukamata wajinga... Na hao ni wengi.Pole sana. Dkt Magufuli anapendwa mno kwa taarifa yako. Ukitaka kuona umaarufu wa Dkt Magufuli nakushauri nenda pale kariakoo halafu anza kumkashifu au panda daladala uanze kumkashfu Dkt Magufuli, kitakachokutokea tujulishe
Hayo yote uliyoyataja weka pembeni... Hilo tukio la tundu lissu tu linatosha kumuexplain huyo mzoga wa chato.1.5tr,mauaji ya Ben Saanane,kupigwa risasi Lissu na kupotea kwa Azori Gwanda.
Acha kuropoka kwenye keyboard ya infinix yako, ukiambiwa ulete ushahidi utaleta? We binti sijui unatokea wapi?
Unajua maana ya visionary leader??unajua mkataba wa kujenga daraja la kijazi ulisainiwa mwaka gani na nani alikua raisi??Kila nikipita daraja la Kijaza nasema hakika Dkt Magufuli was a visionary leader, hata wamchafue kwa maneno ya kuzusha Dkt Magufuli is still in our heart, na wote tutakufa hata huyo Rungwe he will definitely die and everyone else will die. Kwa hiyo Mama Samia tuna uhakika sasa ni yeye ndiye anayetuma watu kumdhihaki Dkt Magufuli, let’s see the end
tuambie weweUnajua maana ya visionary leader??unajua mkataba wa kujenga daraja la kijazi ulisainiwa mwaka gani na nani alikua raisi??
Bila shaka ulikuwa mtu wa karibu mno na JPM nimepitia baadhi ya michango yako bado ule uchungu wa kumpoteza JPM unakutesa bossPeleka huko upumbavu wako.kama macho huna na msikio huna? Mbona kila kitu kiko wazo.hakuna kama jpm
We mwenyewe mzoga mtarajiwaHayo yote uliyoyataja weka pembeni... Hilo tukio la tundu lissu tu linatosha kumuexplain huyo mzoga wa chato.
Koma kumchafua mama, Magufuli alijichafua mwenyewe kwa udikteta wakeKila nikipita daraja la Kijaza nasema hakika Dkt Magufuli was a visionary leader, hata wamchafue kwa maneno ya kuzusha Dkt Magufuli is still in our heart, na wote tutakufa hata huyo Rungwe he will definitely die and everyone else will die. Kwa hiyo Mama Samia tuna uhakika sasa ni yeye ndiye anayetuma watu kumdhihaki Dkt Magufuli, let’s see the end
Du! Mbona unatutisha mkuu!!Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
Hao ni watumishi wa CAT.wana hasira na JK sio kwa sababu wanampenda jpm ila ni ile operation ya kanda ya ziwa.mpango wao wa kumega aridhi kule ulishtukiwa na jk akauzima hadi wa Leo wana visasi.Wanajaribu kuunda conspiracy ili wamnyakue jk,WATASHANGAZWABila shaka ulikuwa mtu wa karibu mno na JPM nimepitia baadhi ya michango yako bado ule uchungu wa kumpoteza JPM unakutesa boss