Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kumbe mzee kaimarisha mfumonwa ulinzi!!? Naamini hii story ni ya siku nyingi kidogo na sio ya juzi inafanywa kuwa ya juzi ILI kupoteza maboya wengi wetu!!!hakuna mission inayowekwa wazi KWA space ya muda mfupi hivi!!!INAWEZEKANA MISSION ISHAKAMILIKA ZAMAAANI SANA WANATAFUTA NAMNA YA KUTUTANGAZIA HITIMISHO KUU LA MISSION YENYEWE NA TUNAANDALIWA KISAIKOLOJIA KWA HAYO YOTE!!!
Endelea kuota mkuu.
 
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
Mkuu sie tuwe wapole tusbri uteuzi tu humu kuzito.
 
Kumbe mzee kaimarisha mfumonwa ulinzi!!? Naamini hii story ni ya siku nyingi kidogo na sio ya juzi inafanywa kuwa ya juzi ILI kupoteza maboya wengi wetu!!!hakuna mission inayowekwa wazi KWA space ya muda mfupi hivi!!!INAWEZEKANA MISSION ISHAKAMILIKA ZAMAAANI SANA WANATAFUTA NAMNA YA KUTUTANGAZIA HITIMISHO KUU LA MISSION YENYEWE NA TUNAANDALIWA KISAIKOLOJIA KWA HAYO YOTE!!!
Enzi za Mwendazake msafara wa Mr. Born town ulikuwa gari 1 au 2 tu, asaiv ulinzi umeongezeka
 
Kila nikipita daraja la Kijaza nasema hakika Dkt Magufuli was a visionary leader, hata wamchafue kwa maneno ya kuzusha Dkt Magufuli is still in our heart, na wote tutakufa hata huyo Rungwe he will definitely die and everyone else will die. Kwa hiyo Mama Samia tuna uhakika sasa ni yeye ndiye anayetuma watu kumdhihaki Dkt Magufuli, let’s see the end
Unajua maana ya visionary leader??unajua mkataba wa kujenga daraja la kijazi ulisainiwa mwaka gani na nani alikua raisi??
 
Kila nikipita daraja la Kijaza nasema hakika Dkt Magufuli was a visionary leader, hata wamchafue kwa maneno ya kuzusha Dkt Magufuli is still in our heart, na wote tutakufa hata huyo Rungwe he will definitely die and everyone else will die. Kwa hiyo Mama Samia tuna uhakika sasa ni yeye ndiye anayetuma watu kumdhihaki Dkt Magufuli, let’s see the end
Koma kumchafua mama, Magufuli alijichafua mwenyewe kwa udikteta wake
 
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
Du! Mbona unatutisha mkuu!!
 
Bila shaka ulikuwa mtu wa karibu mno na JPM nimepitia baadhi ya michango yako bado ule uchungu wa kumpoteza JPM unakutesa boss
Hao ni watumishi wa CAT.wana hasira na JK sio kwa sababu wanampenda jpm ila ni ile operation ya kanda ya ziwa.mpango wao wa kumega aridhi kule ulishtukiwa na jk akauzima hadi wa Leo wana visasi.Wanajaribu kuunda conspiracy ili wamnyakue jk,WATASHANGAZWA
 
Back
Top Bottom