Dark days 17/03/20...

Endelea kuota mkuu.
 
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
Mkuu sie tuwe wapole tusbri uteuzi tu humu kuzito.
 
Enzi za Mwendazake msafara wa Mr. Born town ulikuwa gari 1 au 2 tu, asaiv ulinzi umeongezeka
 
Unajua maana ya visionary leader??unajua mkataba wa kujenga daraja la kijazi ulisainiwa mwaka gani na nani alikua raisi??
 
Koma kumchafua mama, Magufuli alijichafua mwenyewe kwa udikteta wake
 
Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone in this!!
Du! Mbona unatutisha mkuu!!
 
Bila shaka ulikuwa mtu wa karibu mno na JPM nimepitia baadhi ya michango yako bado ule uchungu wa kumpoteza JPM unakutesa boss
Hao ni watumishi wa CAT.wana hasira na JK sio kwa sababu wanampenda jpm ila ni ile operation ya kanda ya ziwa.mpango wao wa kumega aridhi kule ulishtukiwa na jk akauzima hadi wa Leo wana visasi.Wanajaribu kuunda conspiracy ili wamnyakue jk,WATASHANGAZWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…