Dark days 17/03/20...

Nakubaliana na ww kwenye kupiga kazi sana, Ila kuhusu kufatilia siasa na viongozi kuhusu ufisadi sikubaliani na ww. Nchi zenye uchumi mkubwa na watu wake wenye kipato kikubwa ndio wapo conscious kufatilia ufisadi kuliko hata huku
 
Kufuatilia ufisadi ni kazi ya taasisi imara ambazo zimejengwa kimikakati na weledi wa hali ya juu. Kufuatilia ufisadi huku kwetu nikujichosha tu wakati, takukuru wapo, na tiss wapo ambao kimsingi ndio wanaolinda na kuziba leakage ya mapato na rasilimali za taifa. Watanzania tupo kama roboti hatujui tunataka nini, ndio maana watu wengi uwezo wao ni kujadili individuals zaidi kuliko issues. Few elites wanalijua hilo ndio maana wamejitenga na uswahili, wanapigana dili zao huku wanyonge wakiendelea ukasuku bila kua na agenda ya pamoja ( common goal ). Personally, nimeamua kubiga madeal kusaka connection ili wanangu wasife maskini
 
Una upoyoyo mwingi.
 
ila yoga nakupenda, nakupenda sana mama.
 
We nkerebhuke ulanguhasha.
 
ni kweli mkuu story hii huwa inakua paused,km usemavyo pindi kukiwa na tukio au trip.inayohusisha siama
 
Sawa mkuu, uko sahihi na nakubaliana na wewe. Kuna wengine Jiwe kwetu tunamuona kama muuaji, mwizi na mtu muongo muliko wote, lakini kama ulivyosema siyo lazima kila mtu amwone katika mtizamo huo.
Unamuona Jiwe Kama muuaji, alikuua lini!? Mwizi alikuibia nini!? Muongo alikuongopea nini!!?? Kua mkweli usifuate mkumbo!!!
 
Nakubaliana na ww kwenye kupiga kazi sana, Ila kuhusu kufatilia siasa na viongozi kuhusu ufisadi sikubaliani na ww. Nchi zenye uchumi mkubwa na watu wake wenye kipato kikubwa ndio wapo conscious kufatilia ufisadi kuliko hata huku
Ni kweli, kufatilia ufisadi siyo kosa bali ni jambo la msingi, ila kuamini kuwa kila aliyefanikiwa kafanya ufisadi hilo ndiyo tatizo. Mkuu mara nyingi masikini japo siyo wote huwa wanaamini kuwa tajiri au mtu aliyefanikiwa kafanya ufisadi. Mimi naamini kwenye kufanya kazi kwa bidii then anakuja mtu anakwambia atahakikisha tajiri anaishi kama shetani, inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…