Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Usiwe na roho ya kimasikini. Fanya kazi kwa bidii utafanikiwa tu na unyonge utakutoka. Tatizo lako kubwa ni unyonge ndiyo maana unadhani tuliofanikiwa tumepiga dili, mara sijui vyeti feki. Amka mkuu hizo ni propaganda tu na mara nyingi masikini ndiyo wanaamini kirahisi. Amini nakuambia kama bank una 20 million na kuendelea hata siku moja huwezi kumeza propaganda za watawala hata kidogo. Fanya kazi kama umachinga au kazi kama yako, kauli kama vyeti feki, ufisadi, kupiga dili halitakutoka mana kila aliyefanikiwa wewe utakuwa unamini kafanikiwa kutoka kwenye vitu kama hivyo. Je wajua yule aliyetaka kujua PhD ya Jiwe kama ni genuine au laha kilichomkuta?
Nakubaliana na ww kwenye kupiga kazi sana, Ila kuhusu kufatilia siasa na viongozi kuhusu ufisadi sikubaliani na ww. Nchi zenye uchumi mkubwa na watu wake wenye kipato kikubwa ndio wapo conscious kufatilia ufisadi kuliko hata huku
 
Kufuatilia ufisadi ni kazi ya taasisi imara ambazo zimejengwa kimikakati na weledi wa hali ya juu. Kufuatilia ufisadi huku kwetu nikujichosha tu wakati, takukuru wapo, na tiss wapo ambao kimsingi ndio wanaolinda na kuziba leakage ya mapato na rasilimali za taifa. Watanzania tupo kama roboti hatujui tunataka nini, ndio maana watu wengi uwezo wao ni kujadili individuals zaidi kuliko issues. Few elites wanalijua hilo ndio maana wamejitenga na uswahili, wanapigana dili zao huku wanyonge wakiendelea ukasuku bila kua na agenda ya pamoja ( common goal ). Personally, nimeamua kubiga madeal kusaka connection ili wanangu wasife maskini
 
Una upoyoyo mwingi.
 
"10 days ago"........

Insider : Your happy right?? Ehh! ....

Outsider : What? Yes man! i told you this guy was an obstacle!!

Insider: yes he was! In many things! Now we can talk! I can't believe He is gone gone and We are back!!! now we can trade kwa amani!!

Outsider: yes man! Now you know how important sisi kama majirani zenu we are sindio??

Insider :Yes man! Sorry for everything!! Tulikua tuelekee kwenye company war! Kufikia hatua ya kuchomeana products? thing were bad!

Outsider : Very bad! And we had a tip that your CEO was forced by his friend to close business with us to start a war!

Insider: Never, isinge tokea ! Vijana wetu walisha jiridhisha huyu mzee alihitaji tu only kuimonitor kampuni yetu !! And his mission was almost 40% insecurity kwenye hik kampuni yetu, kwake ni a huge loss!!

Outsider: Hahahah! But you guys need to strenghten your intellegence department!! ............ Trust me those guys are weak!!

Insider: Hahaha no man..... Kuna group dogo limejazwa hapo la vijana with no vetting only becouse walikuwa wanaimba mapambiao ya the gone CEO, tushaanza kuwapitia!! We cant allow this to happen again!!

Outsider: Mlifika pabaya sana! That guy was in late CEO bedroom!! Vijana wangu waliwahi nambia he was free to land any time na convoy yake, he even provided security detals to your late CEO and you guys were watching him!..... I dont know what to your late CEO was benefiting from that friendship mpaka kufanya hayo..... It was strange!......

Insider : It is ver sad as a company kupitia tulicho kipitia!! Na tuna kubali It was a very hard lesson to learn! But it wont happen again!

Outsider: How? I know you people, sawa you have succed to take him down, what about his friend, he planted people every were in your company! and ther is an info that in few years to come even if he wont be arroud due to his sickness you guys will be under their company and i don't see your efforts to ensure it wont happen!

Insider! Thats why nimekupigia, we need your company help to make thing right once and for all!! We are neighbours, with this fake friend ship we have across this region sometimes we need to work together kama ule msemo leo kwangu kesho kwako!!!

............ Tutaendelea strong and new

[emoji117]Tukutane juma pili jioni!! ......[emoji16] Nimewamiss nyie watu basi tu......!! Uzima na afya kwanza!!

Love youuuuuuu[emoji8]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
ila yoga nakupenda, nakupenda sana mama.
 
Kufuatilia ufisadi ni kazi ya taasisi imara ambazo zimejengwa kimikakati na weledi wa hali ya juu. Kufuatilia ufisadi huku kwetu nikujichosha tu wakati, takukuru wapo, na tiss wapo ambao kimsingi ndio wanaolinda na kuziba leakage ya mapato na rasilimali za taifa. Watanzania tupo kama roboti hatujui tunataka nini, ndio maana watu wengi uwezo wao ni kujadili individuals zaidi kuliko issues. Few elites wanalijua hilo ndio maana wamejitenga na uswahili, wanapigana dili zao huku wanyonge wakiendelea ukasuku bila kua na agenda ya pamoja ( common goal ). Personally, nimeamua kubiga madeal kusaka connection ili wanangu wasife maskini
We nkerebhuke ulanguhasha.
 
Tuwe na subira, kuna kitu kime eleweka
Kila Siama anapokuwa na tukio au trip story inakuwa paused. Kwa vyovyote vile OP ni mmoja wapo wa wale mitume watatu wanawake ama yeye mwenyewe.

Moral of the story pengine ni kututafsiria na kutufumbulia ndoto za usiku uliopita. Kumbuka wakati wengine wamelala yeye alikuwa macho na aliona kila kitu. Kingine ni kutuondolea wenge la asubuhi. Kama kweli kuna miiba kwenye njia zake wajiandae. Anaonekana ni mtoto wa Nyoka, kitu gani kimempeleka kwa walima Cocoa?
ni kweli mkuu story hii huwa inakua paused,km usemavyo pindi kukiwa na tukio au trip.inayohusisha siama
 
Sawa mkuu, uko sahihi na nakubaliana na wewe. Kuna wengine Jiwe kwetu tunamuona kama muuaji, mwizi na mtu muongo muliko wote, lakini kama ulivyosema siyo lazima kila mtu amwone katika mtizamo huo.
Unamuona Jiwe Kama muuaji, alikuua lini!? Mwizi alikuibia nini!? Muongo alikuongopea nini!!?? Kua mkweli usifuate mkumbo!!!
 
Nakubaliana na ww kwenye kupiga kazi sana, Ila kuhusu kufatilia siasa na viongozi kuhusu ufisadi sikubaliani na ww. Nchi zenye uchumi mkubwa na watu wake wenye kipato kikubwa ndio wapo conscious kufatilia ufisadi kuliko hata huku
Ni kweli, kufatilia ufisadi siyo kosa bali ni jambo la msingi, ila kuamini kuwa kila aliyefanikiwa kafanya ufisadi hilo ndiyo tatizo. Mkuu mara nyingi masikini japo siyo wote huwa wanaamini kuwa tajiri au mtu aliyefanikiwa kafanya ufisadi. Mimi naamini kwenye kufanya kazi kwa bidii then anakuja mtu anakwambia atahakikisha tajiri anaishi kama shetani, inakera sana.
 
Back
Top Bottom