Kabisa mkuu, ndio maana baadhi ya watu wake wanamchukia sana Mr.born town.Born town ana mapungufu mengi sana,ila kwa swala la kuhumshughulikia kp yuko vizuri sana[emoji1787][emoji1787]
Msinisahau n mimi huko nawahi seat.Mkuu
Kama wewe ndie
Niambie ni ku pm angalau na mimi nihusike kuiandaa Tanzania mpya kwa mstakabali wa vizazi vijavyo!!!
Nina wasiwasi kuwa I'd unayo Tumia itapotea Baada ya ukamilifu wa hayo uyaandikayo!!!!
I.d ya kimkakati Hii nina hisia imebeba mikate ya wengi hapo MBELENI Baada ya utimilifu wa HAYO!!
Asante
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6] umbea wa kiswahili ndo unanoga, na kingereza km chachandu pandanishia. Tuenjoy sie.
Aondoshwe na yeye hatumtaki.Born town Ni muhimu ww acha kujidanganya Yuko Sana born town
Umbea wa kiswahili ndo mtamuuu.Kbsa kingereza imebore Sana na kushindwa kungamua story vzr Sasa HV Sina msuka nao tena
Uongo mtupu, mbna born town alishindwa wakat akiwa CEO? jidanganye hivyo hivyo, yule ni mafia haswaa.Kila KAMPUNI duniani lazima iwe na watu wao kuleta taarifa, KAZI Yao ni taarifa tu, taarifa hizo ni kusaidia wakati wa vita nk.
Nchi hii Iko mbali zaidi ya hapo, inahusika Hadi kuweka ma CEO ktk KAMPUNI nyingi tu Afrika.
Huyo paka ni Mwizi tu, pale Kwa m7 na cngo wanaenda kuiba Kwa kupata msaada wa KAMPUNI za nje na kugawana nao na kubadilishana technology.
Matendo wafanyayo yanajulikana na hayajavuka limits za kiusalama kuwa threat Kwa KAMPUNI yetu.
Hujawahi kujiuliza kwann KAMPUNI yetu inaweka CEO KAMPUNI ingine na haijihusishi kuiba raslimali za huko kama PAKA afanyavyo na kuleta hapa kutatua matatizo ya umaskini wa watu wa kwetu?
Nchi hii ni Police wa Africa nzima kuhakikisha amani inatawala. Kuna muda huyo PAKA alivuka limits pale cngo, anapewa silaha nzito bt alipigwa kama mtoto wanaume waliingia Hadi chumbani kwake na akapewa onyo.
Paka ni mtoto mdogo sana kwetu tukiamua hata kesho tunaweka mtu wetu, Afrika nzima Kwa masuala ya ulinzi na USALAMA yanaanzia na kuthibitishwa hapa.
Nchi hii tuna UPENDO Kwa wengine hatuna TAMAA na ndio chanzo Cha AMANI uionayo. Niamini Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo. Mungu wa Mbinguni anapaangalia hapa ndomana viongozi wafanyapo mabaya tunasema tu na mabadiliko yanafanyika Si kama pengine Hadi maandamano na kumwaga Damu.
Born town mbna yeye kalaza wenzie, ili afaidi cake ya neshen peke yake, naye akakumbatie udongo. Aone utamu kunoga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha aendelee kuwepo...kila mtu ana umuhimu wake
Naam...Ninaweza kukubaliana na wewe kwa baadhi ya mambo ambayo majeshi yetu huyafanya pasipo watu wengine kujua. Tanzania imefanya operations nyingi sana na zenye mafanikio makubwa. Hata hili la kumuonyesha bwana Paka ni mjanja wa Intelijiensia lina sababu zake na kwa maksudi maalumu.
Kipindi kile cha 2014 alivyojifanya kwamba anaweza kuipiga kampuni yetu, watu wetu wa kazi waliweka mitambo kwenye kakichuguu na wakawa wanaichungulia kampuni yake.
Wakati anawaza kuipiga kampuni yetu tayari vijana wetu wa kazi walishahamisha baadhi ya watu wetu na kutengeneza shelters ili akirusha tu hakuna raia hata mmoja, sasa ushangae kule kwake hakuwa amejipanga hivyo, so angeleta madhara makubwa kwa wananchi wake na kampuni yake.
But thanks God alipigwa kwa diplomasia tu.Jamani fuatilieni historia ya nchi yetu, ni nzuri sana n ya kusimumua, ukiijua mtu hawezi kukudanganya kwamba tu dhaifu. Tuko imara sana.
Kitu kingine ambacho hakujua alidhani infos alizonazo zimemtosha kuijua kampuni yetu, kumbe hakuwa anajua kama alivyojiaminisha, alijua vichache huku vijana wa kampuni yetu wakijua mengi ya kwake.
Kampuni yetu siyo hivyo jinsi ilivyo madhaifu yetu ya ndani haina maana kwamba hata huko nje ndivyo tulivyo. Siyo kila mlevi amelewa. Mambo mengi huachwa hivyo hivyo kwa maksudi.
Kule porini kuna mambo nyinyi acheni kabisa, mmewahi kusikia pango la wanyang'anyi ambalo lilikuwa likifanya uharamia? Linavamia watu linaiba mbuzi,ng'ombe, kuku, bata mpaka nafaka kisha wanatumwa wazawa kwenda kusaga halafu wanawapelekea kwa kuogopa kuuawa?
Hili genge lilijiona untouchable wakati huo, walikuwa ni wengi kama kijiji, kuna wake, watoto na watu wengine kibao wanaoshirikiana nao, mnajua walifanywa nini?
Saa 2 za usiku ,walijikuta wamefukiwa pasipo kusema hata kwaheri, na mnajua kwanini ilikuwa ni saa 2 za usiku? Kwasababu ulikuwa muda wa msosi wa usiku wamekusanyika pamoja.
Kisa kingine huko huko,majambazi yalikuwa yamejificha porini na yameleta usumbufu mkubwa sana, kila yakitafutwa hayaonekani lakini utekaji unaendelea.
Akatumwa Komandoo mmoja kutoka JWTZ wakamdrop porini akaanza kuwatafuta, ghafla hawa hapa, akawasoma na kujua idadi yao, nao bwana vile vile wanaota moto wamejikusanya. Alipiga risasi moja kwenye ule moto si mnajua baruti na moto. It was the end.
Watanzania wenzangu JWTZ, TISS na POLISI ni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo viko imara sana hizi changamoto za ndani zisitufanye tukose navyo amani, vinafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa hazitangazwi si rahisi kujulikana. (Hawa wachache wanaoharibu ndio waondolewe)
Mambo yao ni mengi hapa nimeandika kwa ufupi tu. Kama nilivyosema huyu mtu huenda anapaishwa tu lakini kwamba ana nguvu kiasi cha kutupangia cha kufanya sidhani kwa jinsi ninavyoijua na ninavyoielewa nchi yetu kwa historia yake.
Uongo mtupu, mbna born town alishindwa wakat akiwa CEO? jidanganye hivyo hivyo, yule ni mafia haswaa.
Hawaez jua watoto waliozaliwa miaka ya 2000. Enzi zile mtu aliemaliza darasa la nane tu alikuwa na uelewa zaidi ya form 6 wa miaka hii, ELIMU imeshuka sana.Naam...
Umesema kwa kiasi flani... unajua hii simulizi ya Yoga haipo direct kuna mambo anayajua anayakwepesha au hayajui kabisa..
Kampuni yetu moja ya majukumu makubwa ni usalama wetu..
Kuna usalama huu wa kawaida tunauona kila siku ..
Kuna usalama wa mipaka na kijeshi..
Pia kuna usalama wa ndani ambao hatuujui..
USALAMA WA NDANI
Usalama huu kwa kampuni yetu wengi hatuujui...
Kiongozi wa kampuni anapochaguliwa hupewa info za hapa na pale na baadhi ya majukumu ya siri sana wanayofanya humo ndani...
Usalama huu pia humlinda Kiongozi wa Juu wa Kampuni pamoja na kumpa baadhi ya masharti katika uongozi wake..
Huko kwenye usalama kuna watu wa information na action to be taken basi.
Sasa kwa uongozi wa late CEO alichezea hii system ya usalama wa ndani pamoja na operations zake...
Late CEO alijaribu pia kuweka watu wa PAKA humo ndani na hilo lilileta balaa sana mpaka LEO HII wanajaribu kuclear ..
PAKA aliweka system flani ya kulinda late CEO pamoja na mambo mengine ya siri za kampuni...
Kilichotokea March 2021 mpaka leo PAKA na watu wake hawaamini kilichotokea na hawajui late CEO alichomokaje kwenye huu mzunguko wa sayari ya tatu kutoka juani... Kwa ulinzi waliokuwa wanampa
Baadhi ya watu wa PAKA wapo sehemu salama.. Just tuu kuhakikisha wanajua nini na hawajui nini.. Na extent ya info walizotuma kwa PAKA..
Lengo ni kuhakikisha kampuni inabaki salama.. Kwa kiasi flani..
[emoji850][emoji850]Natamani sana kujua huyu fanani wetu yuko timu ipi kati ya hizo timu 5 zilizopo kwenye hadithi hii tamu! Au kuna timu nyingine nje ya pazia?
Wengi sana hawaijui Nchi Yao, IPO haja mitaala yetu yarudishwe masomo ya kuimarisha uzalendo.Kabisa mkuu. Pombe si chai kwa raia ila kwa makamanda wetu ni maji yenye harufu tu, shida ya vijana wetu hawajui haya mambo.
Kuna siku ka kampuni fulani kakatangaza eti kataipiga Kampuni yetu kakaelekeza vifaru John na Rajabu vikiwa vingi kuelekea uwanjani mwa kampuni yetu.
Bwana bwana haijulikani ni muda gani mashimo yakafunguka mchwa ukatoka juu, jioni tarumbeta la parapanda likalia, tukaona malaika wanashuka kutoka mjini wakielekea makao makuu wamebeba nguo,viatu, mikanda begani, wengine wako peku, malapa, mwenye pensi, kifua wazi hao mbiooo.
Muda si mrefu msafara wa bibi harusi umefunikwa maua ya miti unaelekea kwenye sherehe tunauliza bibi harusi yuko wapi hatujibiwi ni kimya kimya tu,hakuna nyimbo wala chereko, kimya kimya tu.
Muda mfupi wakafika kwenye mstari, wakamwambia jirani, ebu washa dish lako uone uwanjani kwetu karibu na kwako kuna nini, eheee! Kihoro mtu kimempata,akaulizwa umeona siyo.Kwa upole Ndiyo akajibu.
Akaambiwa chagua moja, ubadili uelekeo uelekeze kwako na kuondoka au kampuni yako ndani ya saa 24 iwe imefutika. Dakika sifuri akakubali sharti la kwanza.
Baada ya hapo harusi ikaisha, wakarudi nyumbani, cha kushangaza yale yale mashimo yaliyokuwa yamewaficha akina faru John na Rajabu hatukuyaona yakifunguka ili yawarudishe tena,na hatukujua yamerudije. Unaweza kuona umakini huo wa hali ya juu ulivyofanyika.
Unaweza kusema hawa mabaka mabaka hamna kitu nilimzingua au niliwazingua lakini ili ujue kazi yao vizuri nenda kwenye medani zao ndipo utajua unaweza kumzingua au lah. Mmoja mmoja unaweza ili kiujumla wako vizuri sana.Nawapa salute popote mlipo. Kanuni yenu ya kujitoa roho kwa ajili ya nchi haiwezi kulipwa kwa mshahara tu bali kuheshimu uzalendo wenu kwa mapenzi ya nchi yetu na mipaka yake.
Hii ni story nilisimuliwa na nilivyododosa nikaambiwa ni kweli zaidi ya mtu 1,napenda kujua historia ya nchi yangu ndio maana nashare na wenzangu japo kiduchu. Huwa najisikia vibaya ninapoona mtu anaipondea serikali yetu na kusema haijui na haijawahi kufanya kitu wakati imefanya mambo mengi yaliyotukuka.
Ahsante sana mkuu. Tumeenda sawa sawa kabisa. Watu wengi hatuyajui haya mambo kiufasaha. Kule juu nilisema ukipewa ushauri na watu unaowaona wadogo au umewazidi cheo, akili ushauri wao ufanyie kazi lakini ukijifanya unajua kila kitu inakula kwako mazima.Naam...
Umesema kwa kiasi flani... unajua hii simulizi ya Yoga haipo direct kuna mambo anayajua anayakwepesha au hayajui kabisa..
Kampuni yetu moja ya majukumu makubwa ni usalama wetu..
Kuna usalama huu wa kawaida tunauona kila siku ..
Kuna usalama wa mipaka na kijeshi..
Pia kuna usalama wa ndani ambao hatuujui..
USALAMA WA NDANI
Usalama huu kwa kampuni yetu wengi hatuujui...
Kiongozi wa kampuni anapochaguliwa hupewa info za hapa na pale na baadhi ya majukumu ya siri sana wanayofanya humo ndani...
Usalama huu pia humlinda Kiongozi wa Juu wa Kampuni pamoja na kumpa baadhi ya masharti katika uongozi wake..
Huko kwenye usalama kuna watu wa information na action to be taken basi.
Sasa kwa uongozi wa late CEO alichezea hii system ya usalama wa ndani pamoja na operations zake...
Late CEO alijaribu pia kuweka watu wa PAKA humo ndani na hilo lilileta balaa sana mpaka LEO HII wanajaribu kuclear ..
PAKA aliweka system flani ya kulinda late CEO pamoja na mambo mengine ya siri za kampuni...
Kilichotokea March 2021 mpaka leo PAKA na watu wake hawaamini kilichotokea na hawajui late CEO alichomokaje kwenye huu mzunguko wa sayari ya tatu kutoka juani... Kwa ulinzi waliokuwa wanampa
Baadhi ya watu wa PAKA wapo sehemu salama.. Just tuu kuhakikisha wanajua nini na hawajui nini.. Na extent ya info walizotuma kwa PAKA..
Lengo ni kuhakikisha kampuni inabaki salama.. Kwa kiasi flani..
Paka n mafia sawa,,lkn kwa born town paka n mchumba tuuUongo mtupu, mbna born town alishindwa wakat akiwa CEO? jidanganye hivyo hivyo, yule ni mafia haswaa.
Asante kwa kuisoma comment yangu
Plz fanya hvyo kwa ss ambao kingereza Ni tatizo fln HV la kuridhi embu dondosha kwa kiswahil uone Wana watakavyotiririka hii kipande ulicholeta kwa kingereza Ni Kali Seema kingereza imezidi sana
Kila aliepita alikuwa na yake..wengi wameumia. Ukijua utashangaa..Born town mbna yeye kalaza wenzie, ili afaidi cake ya neshen peke yake, naye akakumbatie udongo. Aone utamu kunoga.
Yupo tim new CEO !!Natamani sana kujua huyu fanani wetu yuko timu ipi kati ya hizo timu 5 zilizopo kwenye hadithi hii tamu! Au kuna timu nyingine nje ya pazia?
Naona kuna msukuma alikumwagia uji uji hapo nyuma ndo maaana unawashwa washwa kaoshe kijambio ukalale sio kila kabila ni la kutukana ..kenge wwHizi ni akili za kuvaa ndomu za Mataga na Sukuma Gang, huyo mtu mbona hakuzuia Kayafa mungu mtu wenu asife? Born town yupo sana na ataendelea kuwapumulia visogoni nyie wafuga Ng'ombe wa Chato.
Lete habari mkuu
AiseeNaam...
Umesema kwa kiasi flani... unajua hii simulizi ya Yoga haipo direct kuna mambo anayajua anayakwepesha au hayajui kabisa..
Kampuni yetu moja ya majukumu makubwa ni usalama wetu..
Kuna usalama huu wa kawaida tunauona kila siku ..
Kuna usalama wa mipaka na kijeshi..
Pia kuna usalama wa ndani ambao hatuujui..
USALAMA WA NDANI
Usalama huu kwa kampuni yetu wengi hatuujui...
Kiongozi wa kampuni anapochaguliwa hupewa info za hapa na pale na baadhi ya majukumu ya siri sana wanayofanya humo ndani...
Usalama huu pia humlinda Kiongozi wa Juu wa Kampuni pamoja na kumpa baadhi ya masharti katika uongozi wake..
Huko kwenye usalama kuna watu wa information na action to be taken basi.
Sasa kwa uongozi wa late CEO alichezea hii system ya usalama wa ndani pamoja na operations zake...
Late CEO alijaribu pia kuweka watu wa PAKA humo ndani na hilo lilileta balaa sana mpaka LEO HII wanajaribu kuclear ..
PAKA aliweka system flani ya kulinda late CEO pamoja na mambo mengine ya siri za kampuni...
Kilichotokea March 2021 mpaka leo PAKA na watu wake hawaamini kilichotokea na hawajui late CEO alichomokaje kwenye huu mzunguko wa sayari ya tatu kutoka juani... Kwa ulinzi waliokuwa wanampa
Baadhi ya watu wa PAKA wapo sehemu salama.. Just tuu kuhakikisha wanajua nini na hawajui nini.. Na extent ya info walizotuma kwa PAKA..
Lengo ni kuhakikisha kampuni inabaki salama.. Kwa kiasi flani..
Hizi ni hadithi za Yoga hazina ukweli wowote.Current CEO hatumii brain, anafikiri akishirikiana na KP kumuondoa Born town baada ya hapo anadhan yeye atabaki salama?
baada ya born town kuondolewa Sukuma gang wataanza kudili na current CEO