😂😂😂😂mwenye code ngumu ya kumjua the leader wa sukuma gang naweza kumpiga na bia 2...week end hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂mwenye code ngumu ya kumjua the leader wa sukuma gang naweza kumpiga na bia 2...week end hii.
Mm binafs namkubal born town sanalakini kwanini PK awe na access ndani ya system? hii kampuni yetu iko mateka
na born town akiondoka ndo basi tena tumeisha hakuna mtu mwngne mwenye akili aliyebaki nchii hii zaidi ya born town
Born town Ni muhimu ww acha kujidanganya Yuko Sana born townTena naona wanachelewa kumuondosha huyo born town, na venye atafukiwa chap kwa haraka, no kuzungushwa kwa halaiki yaan.
Asante kwa kuisoma comment yangu
Sasa unamuangamiza vip na mwanae yupo s atakuja kuangamuza taifa zima kwa kulipa kizaziMzee hii laana tayari inalitafuna Taifa letu fatilia Vifo vya Soko,Mchonga,Nche na Jiwe vyote ivo ni timing tu
Ila ni jambo jema sana wenye Rungu wakaona namna ya kumuacha born town afe natural death itasaidia kuheal taifa ila ikitokea nae akawa timed basi the trend will continue
Hili aliweke maananiCurrent CEO hatumii brain, anafikiri akishirikiana na KP kumuondoa Born town baada ya hapo anadhan yeye atabaki salama?
baada ya born town kuondolewa Sukuma gang wataanza kudili na current CEO
Wew syo mtanzania bhana unaongeaje hvyoWacha tu iwe koloni lake, labda kutakuwa na unafuu. Kwan saiz ambapo kampuni ipo chini ya bontown sisi tunafaidika nn,, kila sku vitu vinapanda bei,, ajira za kumulika na tochi, wao wanalipana mabilion ya fedha kila kunapokucha......zuri lisilonafaida ni sawa na baya lisilokudhuru
Born town adumu sanaHuu ndiyo ukweli wenyewe,hakuna mtu smart kwa Sasa ndani ya KAMPUNI wa kumuweza PAKA zaidi ya MR BON TOWN,akifa Mr Born Town Nchi itakuwa rasmi koloni la PK.
Kbsa kingereza imebore Sana na kushindwa kungamua story vzr Sasa HV Sina msuka nao tenaDea iweke ya kiswahili bhana, tuenjoy vizuri. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Kila KAMPUNI duniani lazima iwe na watu wao kuleta taarifa, KAZI Yao ni taarifa tu, taarifa hizo ni kusaidia wakati wa vita nk.Mkuu ukubwa huo unatokea wapi wakati kila siku tunaona nyuzi kuwa jamaa PAKA amepenyenya watu wake tena wapo sehemu nyeti na kila siku anapata taarifa ya hii kampuni kwa kadri anavyotaka hebu fafanua vzuri huo ukubwa maana sometime napata hasira sana nikpataga hiz habari kuhusu nyau.
Ila tuwe makini na pk s umeona jirani haitawaliki pere nkurunziza wamesepeshwaKila KAMPUNI duniani lazima iwe na watu wao kuleta taarifa, KAZI Yao ni taarifa tu, taarifa hizo ni kusaidia wakati wa vita nk.
Nchi hii Iko mbali zaidi ya hapo, inahusika Hadi kuweka ma CEO ktk KAMPUNI nyingi tu Afrika.
Huyo paka ni Mwizi tu, pale Kwa m7 na cngo wanaenda kuiba Kwa kupata msaada wa KAMPUNI za nje na kugawana nao na kubadilishana technology.
Matendo wafanyayo yanajulikana na hayajavuka limits za kiusalama kuwa threat Kwa KAMPUNI yetu.
Hujawahi kujiuliza kwann KAMPUNI yetu inaweka CEO KAMPUNI ingine na haijihusishi kuiba raslimali za huko kama PAKA afanyavyo na kuleta hapa kutatua matatizo ya umaskini wa watu wa kwetu?
Nchi hii ni Police wa Africa nzima kuhakikisha amani inatawala. Kuna muda huyo PAKA alivuka limits pale cngo, anapewa silaha nzito bt alipigwa kama mtoto wanaume waliingia Hadi chumbani kwake na akapewa onyo.
Paka ni mtoto mdogo sana kwetu tukiamua hata kesho tunaweka mtu wetu, Afrika nzima Kwa masuala ya ulinzi na USALAMA yanaanzia na kuthibitishwa hapa.
Nchi hii tuna UPENDO Kwa wengine hatuna TAMAA na ndio chanzo Cha AMANI uionayo. Niamini Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo. Mungu wa Mbinguni anapaangalia hapa ndomana viongozi wafanyapo mabaya tunasema tu na mabadiliko yanafanyika Si kama pengine Hadi maandamano na kumwaga Damu.
Unaonekana unajua mengi sana bt binafs moja ya watu nawachukia ni huyu PAKAKila KAMPUNI duniani lazima iwe na watu wao kuleta taarifa, KAZI Yao ni taarifa tu, taarifa hizo ni kusaidia wakati wa vita nk.
Nchi hii Iko mbali zaidi ya hapo, inahusika Hadi kuweka ma CEO ktk KAMPUNI nyingi tu Afrika.
Huyo paka ni Mwizi tu, pale Kwa m7 na cngo wanaenda kuiba Kwa kupata msaada wa KAMPUNI za nje na kugawana nao na kubadilishana technology.
Matendo wafanyayo yanajulikana na hayajavuka limits za kiusalama kuwa threat Kwa KAMPUNI yetu.
Hujawahi kujiuliza kwann KAMPUNI yetu inaweka CEO KAMPUNI ingine na haijihusishi kuiba raslimali za huko kama PAKA afanyavyo na kuleta hapa kutatua matatizo ya umaskini wa watu wa kwetu?
Nchi hii ni Police wa Africa nzima kuhakikisha amani inatawala. Kuna muda huyo PAKA alivuka limits pale cngo, anapewa silaha nzito bt alipigwa kama mtoto wanaume waliingia Hadi chumbani kwake na akapewa onyo.
Paka ni mtoto mdogo sana kwetu tukiamua hata kesho tunaweka mtu wetu, Afrika nzima Kwa masuala ya ulinzi na USALAMA yanaanzia na kuthibitishwa hapa.
Nchi hii tuna UPENDO Kwa wengine hatuna TAMAA na ndio chanzo Cha AMANI uionayo. Niamini Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo. Mungu wa Mbinguni anapaangalia hapa ndomana viongozi wafanyapo mabaya tunasema tu na mabadiliko yanafanyika Si kama pengine Hadi maandamano na kumwaga Damu.
Auwaye kwa upanga naye afe kwa upanga.Kuna namna nyingi za kudeal naye ila kumuua haisaidii kabisa & I’m against hiyo move. Pamoja na machungu niliyonayo ya mr born town kumuua mtu wetu, kipenzi cha watanzania late CEO lakini kulipiza kwa kumuua yeye tunajiandalia taifa ya kuuana kama ilivyokuwa utawala wa roma na kwa huo uuani tutaandaa mfumo ambao siku ya kufeli nchi itabaki mikononi mwa mafia kama Italy ilivyo sasa kwa sababu tutafikia kuwa na vikundi ambavyo vitaamua nani vimuue ili fulani awe rais na hivyo vikundi vitajitwalia rasilimali. Tumuache kabia mr born town na asiguswe dhambi ya kushiriki kumuua late CEO iishie kwake tu. Please deep state walijue hili wasimuue mr born town wamuache kuepusha laana!
Na ukila nyama ya mtu hutoacha-Nyerere said.Auwaye kwa upanga naye afe kwa upanga.
#MaendeleoHayanaChama
Hakuna sukuma gang na hawapo ila kuna watanzania wanao hitaji matumaini basi. Naamini Mama taratibu ataelewa kwa sababu haijawahi tokea rais akaingia madarakani na kufanya mema kwa miaka ya mwanzo, mama na yeye we hope she will play the tune ya walio wengi kwa maslahi ya taifa.Current CEO hatumii brain, anafikiri akishirikiana na KP kumuondoa Born town baada ya hapo anadhan yeye atabaki salama?
baada ya born town kuondolewa Sukuma gang wataanza kudili na current CEO
Ninaweza kukubaliana na wewe kwa baadhi ya mambo ambayo majeshi yetu huyafanya pasipo watu wengine kujua. Tanzania imefanya operations nyingi sana na zenye mafanikio makubwa. Hata hili la kumuonyesha bwana Paka ni mjanja wa Intelijiensia lina sababu zake na kwa maksudi maalumu.Kila KAMPUNI duniani lazima iwe na watu wao kuleta taarifa, KAZI Yao ni taarifa tu, taarifa hizo ni kusaidia wakati wa vita nk.
Nchi hii Iko mbali zaidi ya hapo, inahusika Hadi kuweka ma CEO ktk KAMPUNI nyingi tu Afrika.
Huyo paka ni Mwizi tu, pale Kwa m7 na cngo wanaenda kuiba Kwa kupata msaada wa KAMPUNI za nje na kugawana nao na kubadilishana technology.
Matendo wafanyayo yanajulikana na hayajavuka limits za kiusalama kuwa threat Kwa KAMPUNI yetu.
Hujawahi kujiuliza kwann KAMPUNI yetu inaweka CEO KAMPUNI ingine na haijihusishi kuiba raslimali za huko kama PAKA afanyavyo na kuleta hapa kutatua matatizo ya umaskini wa watu wa kwetu?
Nchi hii ni Police wa Africa nzima kuhakikisha amani inatawala. Kuna muda huyo PAKA alivuka limits pale cngo, anapewa silaha nzito bt alipigwa kama mtoto wanaume waliingia Hadi chumbani kwake na akapewa onyo.
Paka ni mtoto mdogo sana kwetu tukiamua hata kesho tunaweka mtu wetu, Afrika nzima Kwa masuala ya ulinzi na USALAMA yanaanzia na kuthibitishwa hapa.
Nchi hii tuna UPENDO Kwa wengine hatuna TAMAA na ndio chanzo Cha AMANI uionayo. Niamini Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo. Mungu wa Mbinguni anapaangalia hapa ndomana viongozi wafanyapo mabaya tunasema tu na mabadiliko yanafanyika Si kama pengine Hadi maandamano na kumwaga Damu.
Huyu ana back up na wenye nguvu ndio maana ana jeuri kuwafanyia hivyo. Usalama wa Ukanda wa maziwa makuu jicho ni TZ ,hawako tayar kuona tunaingia matatizoni lasivyo nchi zote zinazotuzunguka zitaingia motoni.Unaonekana unajua mengi sana bt binafs moja ya watu nawachukia ni huyu PAKA
maana DRC inahustle sababu ni huyu so namuhofia sana jamaaa japo sipo kweny hayo masistimu
Hahaa, kwamba Si Kila mlevi amelewa!!Ninaweza kukubaliana na wewe kwa baadhi ya mambo ambayo majeshi yetu huyafanya pasipo watu wengine kujua. Tanzania imefanya operations nyingi sana na zenye mafanikio makubwa. Hata hili la kumuonyesha bwana Paka ni mjanja wa Intelijiensia lina sababu zake na kwa maksudi maalumu.
Kipindi kile cha 2014 alivyojifanya kwamba anaweza kuipiga kampuni yetu, watu wetu wa kazi waliweka mitambo kwenye kakichuguu na wakawa wanaichungulia kampuni yake.
Wakati anawaza kuipiga kampuni yetu tayari vijana wetu wa kazi walishahamisha baadhi ya watu wetu na kutengeneza shelters ili akirusha tu hakuna raia hata mmoja, sasa ushangae kule kwake hakuwa amejipanga hivyo, so angeleta madhara makubwa kwa wananchi wake na kampuni yake.
But thanks God alipigwa kwa diplomasia tu.Jamani fuatilieni historia ya nchi yetu, ni nzuri sana n ya kusimumua, ukiijua mtu hawezi kukudanganya kwamba tu dhaifu. Tuko imara sana.
Kitu kingine ambacho hakujua alidhani infos alizonazo zimemtosha kuijua kampuni yetu, kumbe hakuwa anajua kama alivyojiaminisha, alijua vichache huku vijana wa kampuni yetu wakijua mengi ya kwake.
Kampuni yetu siyo hivyo jinsi ilivyo madhaifu yetu ya ndani haina maana kwamba hata huko nje ndivyo tulivyo. Siyo kila mlevi amelewa. Mambo mengi huachwa hivyo hivyo kwa maksudi.
Kule porini kuna mambo nyinyi acheni kabisa, mmewahi kusikia pango la wanyang'anyi ambalo lilikuwa likifanya uharamia? Linavamia watu linaiba mbuzi,ng'ombe, kuku, bata mpaka nafaka kisha wanatumwa wazawa kwenda kusaga halafu wanawapelekea kwa kuogopa kuuawa?
Hili genge lilijiona untouchable wakati huo, walikuwa ni wengi kama kijiji, kuna wake, watoto na watu wengine kibao wanaoshirikiana nao, mnajua walifanywa nini?
Saa 2 za usiku ,walijikuta wamefukiwa pasipo kusema hata kwaheri, na mnajua kwanini ilikuwa ni saa 2 za usiku? Kwasababu ulikuwa muda wa msosi wa usiku wamekusanyika pamoja.
Kisa kingine huko huko,majambazi yalikuwa yamejificha porini na yameleta usumbufu mkubwa sana, kila yakitafutwa hayaonekani lakini utekaji unaendelea.
Akatumwa Komandoo mmoja kutoka JWTZ wakamdrop porini akaanza kuwatafuta, ghafla hawa hapa, akawasoma na kujua idadi yao, nao bwana vile vile wanaota moto wamejikusanya. Alipiga risasi moja kwenye ule moto si mnajua baruti na moto. It was the end.
Watanzania wenzangu JWTZ, TISS na POLISI ni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo viko imara sana hizi changamoto za ndani zisitufanye tukose navyo amani, vinafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa hazitangazwi si rahisi kujulikana. (Hawa wachache wanaoharibu ndio waondolewe)
Mambo yao ni mengi hapa nimeandika kwa ufupi tu. Kama nilivyosema huyu mtu huenda anapaishwa tu lakini kwamba ana nguvu kiasi cha kutupangia cha kufanya sidhani kwa jinsi ninavyoijua na ninavyoielewa nchi yetu kwa historia yake.
Nimesoma riwaya Hii mpaka kipande kile cha mwisho kabla ya hik cha Leo na nikapata kuelewa harakati zote za Mr born town na mipango yake na jins anavyoindesha hii kampuni lakin sikufurahishwa na mipango yake yote nikasema vyovyote itakavyokuwa ni sawa kama jamaa wameamua wamtangulize basi hakuna shida .Lakin niloposoma kipande hiki cha Leo na kuonekana PAkA naye anaharakati za kumtanguliza Mr B town nikapatwa na hasira japo ni riwaya hii.Hvi huyu PAKA akifanikisha hii mission sasa hii kampuni itkuwa kama yake maana hakutkuwa na mtu wa kumdhibiti kwa hapo mbele au nyie wadau mnaonaje na je hakuna harakat zozote za kumtanguliza huyu jamaa?