Mngejua ukubwa wa engine ya KAMPUNI yetu ktk mambo hayo!!!!Ni kweli kabsa Born town mipango hii anayeiweza bt akitutoka tu imekula kwetu.PAKA atarukaruka mpaka kitandani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mngejua ukubwa wa engine ya KAMPUNI yetu ktk mambo hayo!!!!Ni kweli kabsa Born town mipango hii anayeiweza bt akitutoka tu imekula kwetu.PAKA atarukaruka mpaka kitandani
Hizi ni akili za kuvaa ndomu za Mataga na Sukuma Gang, huyo mtu mbona hakuzuia Kayafa mungu mtu wenu asife? Born town yupo sana na ataendelea kuwapumulia visogoni nyie wafuga Ng'ombe wa Chato.Labda nikusaidie kitu kimoja.
Uhai wa born town kuna mtu kaushikilia
Huyo mtu akiamua hata sasa hivi huyo mtu wako afe anakufa tu.
2026 mbali Sana,wakati hata mwezi ujao born town hawezi kutoboa.
Turudi kwa currently CEO.
umejitahidi kumpamba aonekane hana hatia, lakini mfikishie ujumbe, Makamba ndiye anaye muhujumu na yote hayo kwa sababu anataka KWA udi na uvumba kiti.
Na Ikiwa ataendelea kumkumbatia yule msambaa atapoteza KILA kitu.
Hizi ni akili za kuvaa ndomu za Mataga na Sukuma Gang, huyo mtu mbona hakuzuia Kayafa mungu mtu wenu asife? Born town yupo sana na ataendelea kuwapumulia visogoni nyie wafuga Ng'ombe wa Chato.Labda nikusaidie kitu kimoja.
Uhai wa born town kuna mtu kaushikilia
Huyo mtu akiamua hata sasa hivi huyo mtu wako afe anakufa tu.
2026 mbali Sana,wakati hata mwezi ujao born town hawezi kutoboa.
Turudi kwa currently CEO.
umejitahidi kumpamba aonekane hana hatia, lakini mfikishie ujumbe, Makamba ndiye anaye muhujumu na yote hayo kwa sababu anataka KWA udi na uvumba kiti.
Na Ikiwa ataendelea kumkumbatia yule msambaa atapoteza KILA kitu.
Tena naona wanachelewa kumuondosha huyo born town, na venye atafukiwa chap kwa haraka, no kuzungushwa kwa halaiki yaan.Kwa hyo tuendelee kuacha kikundi fulani cha watu wachache kiendelee kuinjoi keki ya taifa huku wananchi wakitaabika na lindi la umaskini?
Aruke tyuuh hata had uvunguni. Tushachoka kundi fulaan kula cake ya taifa peke yao.Ni kweli kabsa Born town mipango hii anayeiweza bt akitutoka tu imekula kwetu.PAKA atarukaruka mpaka kitandani
Tutolee upuuzi wako hapa, naye mr born town akakumbatie udongo, aone raha yake, tena yeye ndo udongo utakamata ile enyewe kea mwili woiiiiiihKuna namna nyingi za kudeal naye ila kumuua haisaidii kabisa & I’m against hiyo move. Pamoja na machungu niliyonayo ya mr born town kumuua mtu wetu, kipenzi cha watanzania late CEO lakini kulipiza kwa kumuua yeye tunajiandalia taifa ya kuuana kama ilivyokuwa utawala wa roma na kwa huo uuani tutaandaa mfumo ambao siku ya kufeli nchi itabaki mikononi mwa mafia kama Italy ilivyo sasa kwa sababu tutafikia kuwa na vikundi ambavyo vitaamua nani vimuue ili fulani awe rais na hivyo vikundi vitajitwalia rasilimali. Tumuache kabia mr born town na asiguswe dhambi ya kushiriki kumuua late CEO iishie kwake tu. Please deep state walijue hili wasimuue mr born town wamuache kuepusha laana!
😅😅😅dah inabidi nichekelakini kwanini PK awe na access ndani ya system? hii kampuni yetu iko mateka
na born town akiondoka ndo basi tena tumeisha hakuna mtu mwngne mwenye akili aliyebaki nchii hii zaidi ya born town
Umeeleweka vizuri sanaNi Mr Tall Slimboy mbobezi wa vita na counter intelligence zamani alikuwa kijana wa M7 kabla hajavuka mpaka na kufanya yake hadi amekuwa CEO asiyepingwa, alikuwa na mashindano yake ya mpira hapa Afrika ya Mashariki, kijamaa hakitaki mchezo
Mkuu ukubwa huo unatokea wapi wakati kila siku tunaona nyuzi kuwa jamaa PAKA amepenyenya watu wake tena wapo sehemu nyeti na kila siku anapata taarifa ya hii kampuni kwa kadri anavyotaka hebu fafanua vzuri huo ukubwa maana sometime napata hasira sana nikpataga hiz habari kuhusu nyau.Mngejua ukubwa wa engine ya KAMPUNI yetu ktk mambo hayo!!!!
Kwhyo Huyu B town akiondoka wew ndo utakula hyo keki ya taifa ?wew omba tu yule shost wangu apate UDC then mkastorike ofisin kwake .Aruke tyuuh hata had uvunguni. Tushachoka kundi fulaan kula cake ya taifa peke yao.
Kwa taifa hili hio michezo ilianzia toka zama za F.O.N aka Faza ov Ze Neshen!Mi nadhani kumuua mr born town siyo suluhisho kabisa hata kidogo. Maana tunajitengenezea taifa lenye laana. Ni kama wao akina Mr born town walivyomuua late CEO. Nadhani system ni muhimu ziangalie namna ya kumtumia mr born town ktk maendeleo ya nchi maana bado tunamuhitaji, si mumeona leo timu ya wananchi tumewatandika 1 nunge vilaza simba hahahah (hapo nimechomekea mambo ya moyoni ya timu wananchi). Ila tuache utani mtindo wa kuuana ni mbaya sana ktk taifa lolote.
Kweli kabisaI'll kwa ushauri tu Ni kuwa kingereza kimezid sna embu fanya iwe ya kingery kbsa kuliko kuchanga fanya Kama ulivyofanya mwazo kwa kueka kwa kiswahili tu
[emoji12][emoji12][emoji12]I'll kwa ushauri tu Ni kuwa kingereza kimezid sna embu fanya iwe ya kingery kbsa kuliko kuchanga fanya Kama ulivyofanya mwazo kwa kueka kwa kiswahili tu
Mzee hii laana tayari inalitafuna Taifa letu fatilia Vifo vya Soko,Mchonga,Nche na Jiwe vyote ivo ni timing tuKuna namna nyingi za kudeal naye ila kumuua haisaidii kabisa & I’m against hiyo move. Pamoja na machungu niliyonayo ya mr born town kumuua mtu wetu, kipenzi cha watanzania late CEO lakini kulipiza kwa kumuua yeye tunajiandalia taifa ya kuuana kama ilivyokuwa utawala wa roma na kwa huo uuani tutaandaa mfumo ambao siku ya kufeli nchi itabaki mikononi mwa mafia kama Italy ilivyo sasa kwa sababu tutafikia kuwa na vikundi ambavyo vitaamua nani vimuue ili fulani awe rais na hivyo vikundi vitajitwalia rasilimali. Tumuache kabia mr born town na asiguswe dhambi ya kushiriki kumuua late CEO iishie kwake tu. Please deep state walijue hili wasimuue mr born town wamuache kuepusha laana!
Suala muhimu katika "game" hili la "death row" ni kuwa "smart" zaidi ya mahasimu wako. Hakuna kujiuliza mara mbili mbili, muwahi adui kabla hajakuwahi wewe. Usaliti na kutumia "double agents" ni silaha muhimu mno.Mr born town imekula kwake!!
Kabisa mkuu!Suala muhimu katika "game" hili la "death row" ni kuwa "smart" zaidi ya mahasimu wako. Hakuna kujiuliza mara mbili mbili, muwahi adui kabla hajakuwahi wewe. Usaliti na kutumia "double agents" ni silaha muhimu mno.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
lakini kwanini PK awe na access ndani ya system? hii kampuni yetu iko mateka
na born town akiondoka ndo basi tena tumeisha hakuna mtu mwngne mwenye akili aliyebaki nchii hii zaidi ya born town