King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Wacha tu iwe koloni lake, labda kutakuwa na unafuu. Kwan saiz ambapo kampuni ipo chini ya bontown sisi tunafaidika nn,, kila sku vitu vinapanda bei,, ajira za kumulika na tochi, wao wanalipana mabilion ya fedha kila kunapokucha......zuri lisilonafaida ni sawa na baya lisilokudhuruHuu ndiyo ukweli wenyewe,hakuna mtu smart kwa Sasa ndani ya KAMPUNI wa kumuweza PAKA zaidi ya MR BON TOWN,akifa Mr Born Town Nchi itakuwa rasmi koloni la PK.