Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

My dear. Thats not even working. He had made lots of. Watch this game closely. Nashangaa sana unakua proud na paka ambaye ni mshenzi. Mtu amemdhulumu mpk jiwe ni mtu huyo? Kama taarifa tu zinaleak hv unategemea born town kolo.? Kama pk anavyomsaidia bibie na ile gang na born town ane huyo wa democracy pia. Ila bi kidude is not even safe... afikirie twice

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Born town akilamba udongo mie burudaani, afu tuanze historia upyaa.
 
Ila kipindi kile alikuwa amezidi aisee, maneno ya shombo shombo tu halafu wakakaa kimya akaona dhaifu haw waungwana, alivyojibiwa kidogo tu,busara,hekima, diplomasia zikaombwa zitumike. Angeendelea tuone umwamba wake.

Unajua kuna vitu vinatia hasira unajifikiria kama ungekuwa ni wewe tayari muda mrefu tembo ulishalitia maji, halaaa, nani anataka ujinga?[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Hahahaha unajua, born town namkubali sana. Namkubali simply because he is smart na basi. Anajua kuplay cards zake. Paka ana dharau sana. Huwa born town maneno hayamuumizagi[emoji23][emoji23][emoji23] amd i know this. He is a smart ass

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Me naona ndio muda wake amuonyeshee kwamba niko pembeni ya uskani lakini gari litafika mpka mlangoni kwako, sasa hapo nani zaidi?

Yaani hata kama atatokea mwingine kutawala as long as ana alama kwenye bega la kulia hatuna shida.Yaani eti jirani yangu aje akae sebuleni kwangu ajifunge msuli awashe tv, amwambie mke wangu na watoto kuanzia leo mimi ndiye baba wa hii nyumba kwasababu baba yenu ni dhaifu kazi yake ni kutabasamu tu,eti nimuache, never, muda wa ku-act ni sasa...ukimchekea nyani utavuna mabua..!!
Born town is a diplomat. Na sifa za system tunazijua. Uweze kucope na kila kundi. Yeye kucheka sana wanamuona fala. Haya he is now single and ready to mingle maamaayee[emoji23][emoji23] wacha iwake. Me mwenyewe naenda kupigana mbona... watiachie my wetu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha unajua, born town namkubali sana. Namkubali simply because he is smart na basi. Anajua kuplay cards zake. Paka ana dharau sana. Huwa born town maneno hayamuumizagi[emoji23][emoji23][emoji23] amd i know this. He is a smart ass

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmmh acha zako nawee.
Kuna vitu vingine vinafanyika tena operations kali na haziwekwi wazi, unatambua kua jamaa alifuatwa hadi chumbani kwake na CDO mmoja na kumfunga mdomo na ikawa ndio mwisho wa chokochoko zake ? Nilipokwambia ulimwengu wa kiroho sikumaaanisha kwenye maombi uingie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Born town is a diplomat. Na sifa za system tunazijua. Uweze kucope na kila kundi. Yeye kucheka sana wanamuona fala. Haya he is now single and ready to mingle maamaayee[emoji23][emoji23] wacha iwake. Me mwenyewe naenda kupigana mbona... watiachie my wetu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Umenichekesha unaenda front mkuu? Dah,we noma huu ndio uzalendo tunaoutaka kwanini mtu mwingine atufanyie maaumuzi?

Me mwenyewe naenda front sitaki kabisa ujinga, tujiongoze wenyewe hata kama tuna udhaifu wetu.[emoji52]
 
Yaaan atunguliwe mbwa yule. Hata humu watu wake wamejaaa. Watunguliwe tu. Huu ukanda anauharibu sana.vijana wetu Mungu awalinde sana. Ni kama huko ulaya. Ubinafsi wa maviongozi wale watoto wa watu wanakufa vitani. Yaa vijana wa miaka 21 mara wamekamatwa mateka wa vita. Roho inaniumaga kufa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe ni mama
 
Umenichekesha unaenda front mkuu? Dah,we noma huu ndio uzalendo tunaoutaka kwanini mtu mwingine atufanyie maaumuzi?

Me mwenyewe naenda front sitaki kabisa ujinga, tujiongoze wenyewe hata kama tuna udhaifu wetu.[emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23] nina wivu mkubwa sana na Tz. Anapokuja intruder i cant take it. Yaan nakiamsha haswaaaa.. kwann watupande kichwani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la borntown hajali watanzania anajali maslah yake mfano utaona hali ya kuwaweka vijana wake kwenye kampuni ili maslahi yake kuendelea kulindwa.na pia mkuu wa kampuni wa sasa hivi kupokea maelekezo kutoka kwake kama tunataka kwenda mbele kama nchi Born town aondolewe hata duniani ila pia huyu pk asiruhusiwe kucheza na kampuni yetu.tukiendelea hivihivi kampuni kuwa ya watu wachache aisee kampuni haitaendelea watu wake wataendelea kuwa masikini Kwa sababu keki itaendelea kuliwa na watu wachache.tutaendelea kuwa kampuni masikini.lakini zuieni huyu pk asichezee kampuni yetu.pia kampuni ifike mahali iendeshwe Kwa model ya kiuchumi Kwa sababu Sasa kampuni inaendeshwa kisiasa zaidi.
 
Back
Top Bottom