Born town akilamba udongo mie burudaani, afu tuanze historia upyaa.My dear. Thats not even working. He had made lots of. Watch this game closely. Nashangaa sana unakua proud na paka ambaye ni mshenzi. Mtu amemdhulumu mpk jiwe ni mtu huyo? Kama taarifa tu zinaleak hv unategemea born town kolo.? Kama pk anavyomsaidia bibie na ile gang na born town ane huyo wa democracy pia. Ila bi kidude is not even safe... afikirie twice
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hahahaha unajua, born town namkubali sana. Namkubali simply because he is smart na basi. Anajua kuplay cards zake. Paka ana dharau sana. Huwa born town maneno hayamuumizagi[emoji23][emoji23][emoji23] amd i know this. He is a smart assIla kipindi kile alikuwa amezidi aisee, maneno ya shombo shombo tu halafu wakakaa kimya akaona dhaifu haw waungwana, alivyojibiwa kidogo tu,busara,hekima, diplomasia zikaombwa zitumike. Angeendelea tuone umwamba wake.
Unajua kuna vitu vinatia hasira unajifikiria kama ungekuwa ni wewe tayari muda mrefu tembo ulishalitia maji, halaaa, nani anataka ujinga?[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Born town is a diplomat. Na sifa za system tunazijua. Uweze kucope na kila kundi. Yeye kucheka sana wanamuona fala. Haya he is now single and ready to mingle maamaayee[emoji23][emoji23] wacha iwake. Me mwenyewe naenda kupigana mbona... watiachie my wetuMe naona ndio muda wake amuonyeshee kwamba niko pembeni ya uskani lakini gari litafika mpka mlangoni kwako, sasa hapo nani zaidi?
Yaani hata kama atatokea mwingine kutawala as long as ana alama kwenye bega la kulia hatuna shida.Yaani eti jirani yangu aje akae sebuleni kwangu ajifunge msuli awashe tv, amwambie mke wangu na watoto kuanzia leo mimi ndiye baba wa hii nyumba kwasababu baba yenu ni dhaifu kazi yake ni kutabasamu tu,eti nimuache, never, muda wa ku-act ni sasa...ukimchekea nyani utavuna mabua..!!
Tena haswaaaaa... alijipeleka kwa watoto wa town[emoji23][emoji23] ila paka hapana. Mzulumati next levelJiwe alikuwa ni zaidi ya tatizo !!
Historia gani? Unafikiri its that easy?Born town akilamba udongo mie burudaani, afu tuanze historia upyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha unajua, born town namkubali sana. Namkubali simply because he is smart na basi. Anajua kuplay cards zake. Paka ana dharau sana. Huwa born town maneno hayamuumizagi[emoji23][emoji23][emoji23] amd i know this. He is a smart ass
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vingine vinafanyika tena operations kali na haziwekwi wazi, unatambua kua jamaa alifuatwa hadi chumbani kwake na CDO mmoja na kumfunga mdomo na ikawa ndio mwisho wa chokochoko zake ? Nilipokwambia ulimwengu wa kiroho sikumaaanisha kwenye maombi uingie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh acha zako nawee.
Umenichekesha unaenda front mkuu? Dah,we noma huu ndio uzalendo tunaoutaka kwanini mtu mwingine atufanyie maaumuzi?Born town is a diplomat. Na sifa za system tunazijua. Uweze kucope na kila kundi. Yeye kucheka sana wanamuona fala. Haya he is now single and ready to mingle maamaayee[emoji23][emoji23] wacha iwake. Me mwenyewe naenda kupigana mbona... watiachie my wetu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe ni mamaYaaan atunguliwe mbwa yule. Hata humu watu wake wamejaaa. Watunguliwe tu. Huu ukanda anauharibu sana.vijana wetu Mungu awalinde sana. Ni kama huko ulaya. Ubinafsi wa maviongozi wale watoto wa watu wanakufa vitani. Yaa vijana wa miaka 21 mara wamekamatwa mateka wa vita. Roho inaniumaga kufa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Huu ujumbe natamani niufikishe mm🙌Then akiwa anatoka anamwambia, msalime sana KP mwambie this time niko free zaid as he thinks! CEO anaitazam ile flash akiwa anatetemeka
[emoji23][emoji23][emoji23] nina wivu mkubwa sana na Tz. Anapokuja intruder i cant take it. Yaan nakiamsha haswaaaa.. kwann watupande kichwaniUmenichekesha unaenda front mkuu? Dah,we noma huu ndio uzalendo tunaoutaka kwanini mtu mwingine atufanyie maaumuzi?
Me mwenyewe naenda front sitaki kabisa ujinga, tujiongoze wenyewe hata kama tuna udhaifu wetu.[emoji52]
Hahahah hapo ndo ilipo key message... vayolence[emoji23][emoji23] yuko freee babaHuu ujumbe natamani niufikishe mm[emoji119]
[emoji56] aseeee kwa hyo unataka kusema kuna uwezekano yoga og aliwekwa mtu kati na wazee wa kazi wameishikilia account yake ya jf na kuiendesha.Hivi tuna uhakika Yoga aliyeanza na hii stori ndio huyu huyu anayeendelea? Mbona kama kuna touch tofauti? Ila stori inafikirisha sana
MkuuUnamalizia stor vizurrr, umefuta hatua zote. Wote wamepotea.
[emoji21][emoji21] am still here [emoji12][emoji56] aseeee kwa hyo unataka kusema kuna uwezekano yoga og aliwekwa mtu kati na wazee wa kazi wameishikilia account yake ya jf na kuiendesha.
[emoji849][emoji849] realy??? HayaaaUnamalizia stor vizurrr, umefuta hatua zote. Wote wamepotea.