Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Vizuri kabisa. Sijui kwanini CV ya born town kwenye intelijensia ilikuwa haisemwi tunalishwa ya KP tu miaka yote mpaka akajizolea sifa kede kede,me nilikuwa ninashangaa siku zote why tumekaa kimya tunamuacha mtu atambe namna hii?Kp hamuwezi born town,mtt mdogo sn kwny suala la inteligensia,born town ni super spy
Tunakuombea uendelee kuwa wewe utuletee mzigo mezani nikiwa bado nina mzuka wa kuchangia labda kipengele cha CAT kama kitakuwa kimeisha nitakuwa kimya nasoma za wengine. Ananiudhi huyu jamaa mpaka nikilala namuona usiku tunanyang'anya samaki kutoka ziwani. [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji6] usjali from wend! Tutatia jambo zuri hapa mpendwa!!! Ingawa natuhumiwa sio mimi eti[emoji16][emoji23]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Kama siyo born town kwenye loan board kuongeza pesa nisingesoma chuo mwenzenu, nani angenilipia ada mtoto wa mkulima mie. Kwa hili sitaacha kumshukuru kimoyo kimoyo hata kwa maandishi kama hivi. Nikifikiria namna hii namuona ni muungwana sana kama ulivyosema.Japo born town ana mishe mishe nyingi
Ila dijawahi natamani afe kizembe.
Ana unafuu na uungwana kuliko yule jamaa mzilanKENDE.
born town ana utu kidogo.
Angekuwepo madaraka wewe leo ungekuwa uhakika wa kazi unachosomea chuo.
Mambo yote yalitibuliwa na gule mzilanKENDE.
nilipata kazi yangu ya kwanza kipindi born town yuko hatamuni.
Ujue kila tawala ina watu wake inayowainua km ww uliinuliwa na Borntown kwa kigezo cha kupata ajira mm nimeinuliwa na BornSangara kwa kuwezeshwa. Borntown anafalsafa ya PanyaBuku anakula huku anakupuliza ila alivyoingia Paka hakutaka kufuata falsafa hiyo yeye alikua anakamata kila windoJapo born town ana mishe mishe nyingi
Ila dijawahi natamani afe kizembe.
Ana unafuu na uungwana kuliko yule jamaa mzilanKENDE.
born town ana utu kidogo.
Angekuwepo madaraka wewe leo ungekuwa uhakika wa kazi unachosomea chuo.
Mambo yote yalitibuliwa na gule mzilanKENDE.
nilipata kazi yangu ya kwanza kipindi born town yuko hatamuni.
Alimuwezaga sana ,hivi unajua mifugo mingapi ilibaki kwa watendaji, wananchi na viongozi wengine iliyokuwa inachungiwa kwenye mapori yetu ya akiba baada ya kusema wahamiaji haramu wote wasepeshwe?Born town ana hatari sana maana halisi ya powerful man,hivi alimfanya nini kp maana KP wanamsifia sana ina maana born town alimuwezaga?
Kuna kitu kwenye Kampuni nyingi Duniani kinaitwa... To Maintain Public Investment Security...Japo born town ana mishe mishe nyingi
Ila dijawahi natamani afe kizembe.
Ana unafuu na uungwana kuliko yule jamaa mzilanKENDE.
born town ana utu kidogo.
Angekuwepo madaraka wewe leo ungekuwa uhakika wa kazi unachosomea chuo.
Mambo yote yalitibuliwa na gule mzilanKENDE.
nilipata kazi yangu ya kwanza kipindi born town yuko hatamuni.
Kipindi hicho hicho born town alienda bukoba kuenzi mashujaa, pk kajaza masoldier wake mpakani akihisi jamaa atatangaza vita. Vikosi vyetu vilianza kuizunguka kampuni yake, mizinga ikasogezwa kalibu, Raia waliokuwa mpakani wakafurushwa. Ikatengenezwa propaganda kama wamerusha risasi, paka alivyoona hivyo akaomba mazungumzo haraka sanaAlimuwezaga sana ,hivi unajua mifugo mingapi ilibaki kwa watendaji, wananchi na viongozi wengine iliyokuwa inachungiwa kwenye mapori yetu ya akiba baada ya kusema wahamiaji haramu wote wasepeshwe?
Unajua jamaa hakujua kwamba mkoa wake ni mdogo na watu wake wapo kwenye kampuni yetu, wanatutegemea, sasa walivyofurushwa wakaanza kuondok na pembe zao, kamkoa ghafla kamejaa, ikapigwa marufuku hakuna kuingiza pembe za maziwa yenu ardhi haiwezi kuwamudu.
Watafanyaje, ikabidi waaandikishane na wazawa kwamba wanaziacha kama za Waungwana, wengine wakauza kwa bei ya hasara. Umeona hii point?
Sasa ikabidi busara itumike. Sasa kama ni mtaalamu wa Intelijensia hawakujua yote haya mpaka wamefikia kumwaga mboga mwenzie akabeba ugali akasepa nao?
Wakati huo anafanya hayo alikuwa amekaliwa kimya tu kama kawaida akajiona hawa wamelala usingizi mzito, kumbe wamefumba jicho lingine liko kodo hakuliona.
Kaka umeongea point sana.Hapa hatuongei kwa mahaba watu wasitufikirie vibaya, ni kwa Facts kila mmoja tunampa respect yake.Kuna kitu kwenye Kampuni nyingi Duniani kinaitwa... To Maintain Public Investment Security...
CEO wa Kampuni Mbalimbali huko mjuu hulinda hii kitu ili UKUSANYE KODI na KUMAINTAIN JOB SECURITY..
Born Town alijitahidi ndio maana angalau Govt na Private Institution ziliajiri...
Alipoingia The so called Late... Alijua Private Institution hazilipi kodi... Akazinyonya balaa... Nguvu ya kuajiri ikaisha....
Yeye alijua tuu... Kamua tuu.... Na baadhi ya watu.. Nenda Benki angalia ana salio lipi.... Kamuaaaa...
Mwisho wa siku... Kila Big Companies zikapunguza wafanyakazi... Pia Jobs zikawa shida.. Sanaaa...
Washikadau flani flani wakaondoka wakaenda njeeee kabisa... Maana wangefilisika....
Kuwa na M 500 Benki sio kosa kama unaweza kuonyesha umepataje.. Kwa kazi zipi kihalali...
...kuna watu wanaingiza 20 M kwa mwezi na kodi analipa.... Je hawezi kuwa na 500 M benki...? Basi hawa wengi waliumizwa... Huku mzilankende akijua anajenga kampuni.... Kumbe ndio anaua employment industry..
Anyway tumetoka mbali...
[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91] he is a man with ballsKipindi hicho hicho born town alienda bukoba kuenzi mashujaa, pk kajaza masoldier wake mpakani akihisi jamaa atatangaza vita. Vikosi vyetu vilianza kuizunguka kampuni yake, mizinga ikasogezwa kalibu, Raia waliokuwa mpakani wakafurushwa. Ikatengenezwa propaganda kama wamerusha risasi, paka alivyoona hivyo akaomba mazungumzo haraka sana
Hureeee!! Sasa hapa story imeanza kunoga,ahsante sana mkuu hii ni bonge la mchezo mzuri wenye uhalisia. Bado kuna mtu anasema watu hawana akili?Kipindi hicho hicho born town alienda bukoba kuenzi mashujaa, pk kajaza masoldier wake mpakani akihisi jamaa atatangaza vita. Vikosi vyetu vilianza kuizunguka kampuni yake, mizinga ikasogezwa kalibu, Raia waliokuwa mpakani wakafurushwa. Ikatengenezwa propaganda kama wamerusha risasi, paka alivyoona hivyo akaomba mazungumzo haraka sana
Unasomaga vitabu vya Kelvin Mponda?. Hilo tusi analitumia sana kwenye maandiko yake.Unacheka cheka hovyo kama malaya aliyeona bia za bure,tatizo nini wewe?
Unaudhi sana
Jazia nyama mkuu kwahuyo kamanda aliyestaafu na baadhi ya op huko poriniHureeee!! Sasa hapa story imeanza kunoga,ahsante sana mkuu hii ni bonge la mchezo mzuri wenye uhalisia. Bado kuna mtu anasema watu hawana akili?
Sasa usikute hata ule uwanja wa sehemu ya tambarare uliokuwa ujengwe Paka ndiye alishauri usiwepo ili ubaki mmoja tu pale mjini ili hata kama zitakuja ndege kubwa zenye vifaa vya muziki zisitue, yeye pasipo kujua mawazo ya mwenzake akakubali.
Nashauri ule mwingine wa Wilaya iliyopo karibu na njia ya kuelekea kwake uboreshwe zaidi maana upo ,uwekewe taa ili kama ni dharula utumike chap.
Wasanii wetu muwe mnafanya documentary angalau kwenye uigizaji wenu mnaweka vionjo kama hivi, siyo kila siku mapenzi tu.
Kuna watu hawamjui mtu mmoja aliyekuwa mkuu wa operation na mafunzo hapa nchini sasa hivi naye amestaafu ningekuwa ni mimi ningemjengea sanamu kule porini aliweza kuwatuliza sana wale watu.Popote ulipo kamanda salute kwako.
Hata km sio easy, ila akilamba udongo bas full burudaan.
Huu ni uongo kabisaa, akat PK ndo alisema shuka analolalia born town analijua, woiiiiiiiihKuna vitu vingine vinafanyika tena operations kali na haziwekwi wazi, unatambua kua jamaa alifuatwa hadi chumbani kwake na CDO mmoja na kumfunga mdomo na ikawa ndio mwisho wa chokochoko zake ? Nilipokwambia ulimwengu wa kiroho sikumaaanisha kwenye maombi uingie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wote wanao mfurahiq born town ni wafuasi wake wanaokula cake pa1, aondoke huyu born town, tuanze upyaa.Tatizo la borntown hajali watanzania anajali maslah yake mfano utaona hali ya kuwaweka vijana wake kwenye kampuni ili maslahi yake kuendelea kulindwa.na pia mkuu wa kampuni wa sasa hivi kupokea maelekezo kutoka kwake kama tunataka kwenda mbele kama nchi Born town aondolewe hata duniani ila pia huyu pk asiruhusiwe kucheza na kampuni yetu.tukiendelea hivihivi kampuni kuwa ya watu wachache aisee kampuni haitaendelea watu wake wataendelea kuwa masikini Kwa sababu keki itaendelea kuliwa na watu wachache.tutaendelea kuwa kampuni masikini.lakini zuieni huyu pk asichezee kampuni yetu.pia kampuni ifike mahali iendeshwe Kwa model ya kiuchumi Kwa sababu Sasa kampuni inaendeshwa kisiasa zaidi.