Dark days 17/03/20...

Sahihi kabisa. Hawa ndio watu tunawategemea. Kazi zao ni za kutukuka zikifanywa kwa weledi.

Na sisi hatutaki demokrasia ya vurugu. Tunataka demokrasia ya maendeleo. Kwanini iwe Ulaya na Marekani tu?
 
Nashauri serikali ifanye vetting kwenye jeshi la Polisi wanaoingia, wafuatilie historia zao,screening iwe kubwa wasio na uwezo wasipewe nafasi zenye vitengo nyeti unakuta hawa ndio wavujisha siri za raia na kuleta ugomvi mtaani.
Ushauri mzuri sana.
 
Mimi nimzalendo ila wewe jamaa naona umenizidi. Kauli na maneno yako yanathibitisha hivyo. Barikiwa sana.
 
Mzee yule yuko vizuri kwenye Propaganda unaona alichoenda kufanya kule Cabo De Ligado? Mtu ambaye hata kampuni yake uko hoi kwa njaa na umaskini eti ndiye anaenda kutoa msaada wa kijeshi😅😅
 
Sahihi kabisa. Hawa ndio watu tunawategemea. Kazi zao ni za kutukuka zikifanywa kwa weledi.

Na sisi hatutaki demokrasia ya vurugu. Tunataka demokrasia ya maendeleo. Kwanini iwe Ulaya na Marekani tu?
Eti bwana tunawatolea mifano mizuri tu wakati tuna mambo tunayaweza vizuri kabisa.

Kuna kipindi askari wa US walikuja kwetu kufanya mazoezi na shindano la kutembea mwendo mrefu huku wakiwa wamebeba mzigo wa kg 50 mgongoni, pia wako full combat huwezi kuamini walioshinda ni wa kampuni yetu.

Kwa utimamu wa mwili wako vizuri sana,ila hizi habari kwa waandishi wetu siyo habari au wanaogopa kuziandika.

Ingekuwa ni kampuni nyingine wangeipaisha sana hii habari. Vyombo vyetu vya ulinzi viwe vinatoa tips fulani fulani ili kuonyesha vipo active lasivyo tutalishwa habari za nje na kuziamini huku tukiona vya kwetu siyo lolote wala chochote.
 
Mimi nimzalendo ila wewe jamaa naona umenizidi. Kauli na maneno yako yanathibitisha hivyo. Barikiwa sana.
Amen sana.Yaani mimi ninavyoipenda nchi yangu siko tayari kuona mtu anataka kutuvuruga eti kwasababu ya upole wetu, utulivu wetu,amani yetu na ukimya wetu.

Somo la Uzalendo lipewe umuhimu sana kwenye mitaala ya elimu yetu. Tukiwa na kizazi chenye utu,ubinadamu na utii kitaifanya jamii yote ibadilike na kupata viongozi sahihi na wenye maono ya kulipeleka Taifa mbele.

Haya ndio yataleta haki katika jamii na kutengeneza nchi yenye maelewano mazuri pasipo misingi ya kubaguana, kuoneana, kudharauliana.Haki haiwezi kutolewa kama jamii haikujengwa katika misingi imara ya uzalendo.
 
Mzee yule yuko vizuri kwenye Propaganda unaona alichoenda kufanya kule Cabo De Ligado? Mtu ambaye hata kampuni yake uko hoi kwa njaa na umaskini eti ndiye anaenda kutoa msaada wa kijeshi[emoji28][emoji28]
Watu wake wanavyoisifu sasa,ohhh! Ni tajiri sana kuliko sisi, halafu jambo la kushangaza kuna watu wanaamini kabisa kwamba wako juu ya kampuni yetu kwa kila kitu, kilichofanyika ni propaganda tu na ikaeleweka [emoji3][emoji3][emoji3]

Na sisi kampuni yetu ianzishe kitengo cha propaganda kuelezea news za namna hii badala ya kushinda tunasoma udaku mitandaoni itasaidia sana kuwaelimisha watu..

Ila isijekuwa kama kile kitengo cha Joseph Goebbells Waziri wa Propaganda wa Hitler aliyeishia kujiua kwa aibu ya kushindwa vita si kwa propaganda aliyokuwa amewalisha Wajerumani [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].
 
Mungu ambariki sana PK , alimradi atatusaidia kwa sababu yoyote ile kulipa kisasi cha kutuulia kipenzi chetu "the gone" CEO. Kumbu adui wa adui yako ni rafiki mura!
 
Huu ni uongo kabisaa, akat PK ndo alisema shuka analolalia born town analijua, woiiiiiiiih
Ww kamama sikia,hapa nazungumzia baada ya CAT kutamka maneno hayo na vitisho vingi . Kama unavyojua mr born town kalelewa jeshini na si hivyo tu pia alikua kua ni luten kanali wajeshi na kipindi kile alikua anapendwa na bakabaka hatari mpaka sasa mana aliwaboreshia maslahi mengi sana , ndipo iliandaliwa operation maalum mmoja wa makomando kutoka 92 Kj alikwenda mpaka viungani mwa CAT tena ndani Kbsa unajua nn kiliendelea baada ya hapo [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah.. Mkuu hiyo sabuni V.. Ilikuwa ni kiboko ya uchafu na madoa haswaaa..

Alikuwa na kikosi chake cha vishandu ni hatari sana. Watu wana achia usukani wa bike wanapiga njugu na zinaingia halafu mwendo sanaaa.. Kiddon wakasome yani..
 
Sure kabisa mzilanKENDE alikuwa mshamba tu
 
Mungu ambariki sana PK , alimradi atatusaidia kwa sababu yoyote ile kulipa kisasi cha kutuulia kipenzi chetu "the gone" CEO. Kumbu adui wa adui yako ni rafiki mura!
Duh! Mzee we noma,ni mawazo yako lakini, kama ambavyo na mimi nilikuwa ninatoa ya kwangu.Fita ni fita mura. Siipendi fita mie we acha tu.
 
Shida ilijitokeza hapa kwenye kampuni yetu nikuacha kuongelea mambo yetu mazuri na kuongelea siasa tu. Sasa yeye alijua ya upande mmoja baada ya kumsikia akiongea au jinsi yalivyosambazwa hayo maneno na hao hao, ndio maana hataki kuamini.

Nilivyoongelea mboga na ugali nilikuwa ninamaanisha hiki ulichokisema japo wewe unaonekana unakijua zaidi kuliko mimi ungeelezea kwa undani kidogo.

Kuna baadhi ya taarifa hazitakiwi kufichwa sana maana watu wataona hizi taasisi hazipo na kuanza kushabikia za jirani. Kumbe wapo wanakufikia popote ulipo.
 
Mungu ambariki sana PK , alimradi atatusaidia kwa sababu yoyote ile kulipa kisasi cha kutuulia kipenzi chetu "the gone" CEO. Kumbu adui wa adui yako ni rafiki mura!
Pk huyu huyu anayenuka damu ama? Rutamzalisha vifaranga vya kuku... tumlee wenyewe halafu atushindwe?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Dah.. Mkuu hiyo sabuni V.. Ilikuwa ni kiboko ya uchafu na madoa haswaaa..

Alikuwa na kikosi chake cha vishandu ni hatari sana. Watu wana achia usukani wa bike wanapiga njugu na zinaingia halafu mwendo sanaaa.. Kiddon wakasome yani..
Ahsante sana mkuu. Hapo kwenye uskani wa bike sasa,zinaachiwa halafu baada ya muda unasikia kimya hata ndege na wadudu wapiga miluzi porini kimyaaaaa!

Unaambiwa wakifika kwenye tukio utadhani Bucha. Huyu alikuwa noma mzee, alifanya kazi ya kutukuka huko.
 
Nyakanazi - Lusahunga - Biharamulo - Bukoba hadi Mutukula

Unapita muda wowote sasa hivi

V T alipaweka shwari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…