miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Akina bashite. Maybe na tabia yake ya visasi.Late CEO alikuwa na nafasi kubwa ya kuwa CEO bora kuliko wote. Sijui nini kilimchanganya. Mwisho wa siku amekuja kuonekana wa kiwango cha chini sana hadi Born Town anaonekana wa maana.
Utafikiri ana biashara[emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706]Ndio maana mliunda kikosi kazi ili muuwe biashara za watu eeeeh?
Pale TRA wapo wengi walichukia kikosi kazi kukaa pembeni... Kamuulizie H. Sali.. Yupo analia na mshahara tuu baada ya kikosi kazi kuvunjwa... Watu walikuwa na uhakika wa mpaka million mbili kwa siku... Za Rushwa.... Mnavamia wafanyabiashara wakubwa kwakuwa mna go ahead (ruhusa ya Jiwe) mnawaambia toa kiasi hiki TRA.. Na mimi nipe kiasi hiki... Bila hivyo jiandae kwenda Kisutu na nitahakikisha hakuna dhamana.....
Ilikuwa wakati wenu kutesa... Sasa yalishapita hayo...
Magaidi kuingia ni jambo moja, magaidi kuleta madhara Kwa Taifa ni jambo lingine.Mbona magaidi waliingia na kuishi hapa mkuu kama tuko vzr hivyo kaa maelezo yako
Na kubadili somo la history awe yeye. Idiot kbs.Ila Jiwe pamoja na mazuri yake baadhi hasa kuboresha Miundombinu nchini ila alikua na ROHO mbaya sana .
Alikua na ile nile mimi tu na wanaonisifia ,wengi walimuweza kwa kumsifia kinafiki walinde ugali.
Yule bwana tungekua na Tanzania huru yenye mikakati ilifaa awe Waziri wa Ujenzi kama alivyokua ila sio mbeba maono .
Vipi kilimo mkuu. Hakuna kitu nachukia kama madalali wanavyowaumiza wakulima. Ni ukatili mkubwa sana.Nani kakuambia nipo serikalini!!!! Au kwa hata kufanya kazi na lolote la umma!!! Karibu kijijini tulime.. hao wasema nikawaulize mimi haya yote yananihusu nini? Duh!!!
Bush stars[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] emotional intelligence ilitumika kuwarubuni wanyonge wake na akafanikiwaBwege lile
why are you using excessive energy to defend these killers? looks like you have assumed the role of yogaYawezekana ni kweli ana watu kila sehemu au ndivyo sivyo,mimi na wewe hatuna uhakika.
Hii kampuni ina watu wengi sana wenye akili nyingi,kama wameweza kuyaona haya yote hawawezi kuwatrace na kuwatambua wote waliopo nyuma yake na kukata chain nzima?
Kwanini asiwekwe bench tu akanyimwa access ya kumuendesh current ceo, hivi akimulikwa kwa macho makali bado anaweza kuendelea kusumbua?
Kwani sasa hivi anajilinda, anayemlinda hajui nyendo zake? Ninachotaka kusema hapa tusitatue matatizo kwa kulipizana visasi vya mauaji. Damu hizi zinaweza kuja kuligharimu Taifa huko mbeleni sisi tukiwa hatupo.
Ninavyojua kampuni ilisema tuanze upya tusameheane, kwahiyo hata kumuacha tu kwamba sasa wewe mzee pumzika inatosha kwake.
Hivi watu wakiambiwa warudishe mali zote za umma zilizoibwa na kufichwa nje na ndani halafu zikatumika kwa maslahi ya Taifa haitoshi?
Mkimuwajibisha kwa execution bila kujua kama ana mali,zipo kiasi gani, wapi,taifa litafaidika vipi? Maana tunaambiwa anafanya biashara, kama kuna mikatab ya hovyo ivunjwe na kurejeshwa serikalini iangaliwe upya.
Kilichotokea kwa jiwe sikukipenda kiliumiza watu wengi, hata huyu kitaumiza watu wengi pia, Mr.New culture alichofanyiwa na Kijana msema sana vyote sikuvipenda. Haki haikutendeka kwao .
New ceo anayotaka kufanyiwa bado siungi mkono hoja. Kampuni hiii ina watu mahiri wa diplomasia na maono kwanini wasikae mezani wakazungumza?
Uzalendo wangu ninamaanisha naipenda nchi yangu Rais wangu, Watanzania wenzangu wote, wana JF wote, mwenye Uzi wake Yoga na wewe pia, na wote ninaojibizana nao.
Bado hatujachelewa tunaweza kuanza upya kuijenga Kampuni yetu katika Upendo, Haki na Amani huku tukihubiri neno Uzalendo Kwanza.
Siko upande wowote, sijatumwa na yeyote, sifaidiki na chochote wala mfumo wowote ule wa upigaji, mimi ni mkulima ila ninaipenda Kampuni yangu.
Nawapenda makamanda wote mnaotulinda tuko shwari ndio maana tunapata muda wa kuandika haya,hata Ukraine na Russia wanatamani kuwa kama sisi sasa hivi lakini je yanayoendelea huko wameyastahili hayo na ni haki yao na Uzalendo? Kazi yenu ni njema sana. I salute you commandas!!
Shida ni Huyo paka kuja kukaa sebuleni kwetu.born town ashinde tuKumekuchaaaaaaaaaaah,
Born town akishinda hii Battle ntasema baas, Jah ndo ataamua ni lini achukue oxxgen yake.
Nataman alazwe foot 6 mapema mno, mbna yeye kalaza wenzie. Khaaaah nachukia mie.
That is what we call FREEDOM OF EXPRESSION.why are you using excessive energy to defend these killers? looks like you have assumed the role of yoga
We wa mpyayungu huko umeongea madude gani haya??fafanua sasa na wewe basi kidogooThe arc of the moral universe is very long but it bends towards justice "A King"
Codes ngumu zimekuchenga, Kwa ufupi Anamaanisha mkubwa hakosei.We wa mpyayungu huko umeongea madude gani haya??fafanua sasa na wewe basi kidogoo
Vasco haweki kukaa pembeni unless he's eliminated. Ana power kubwa sana, ameweza kuiweka kampuni kwenye kiganja. Awe eliminated tu, sema dhambi ya kueliminate maceo huwa ni endelevu, ukimmaliza huyu, anayekuja anakumaliza.Vasco da gama ana madhaifu yake. Na simtetei kabisa kwa hilo. The thing is, i just love it how je plays them[emoji23][emoji23] yaan honestly i love Intelligence. Any intelligent person inspires me a lot. Why should you be a looser? As for me, i want pk down. Born waangalie namna ya kumweka pembeni na siyo kwa mauaji. Pk mkatili sana. Born town always tumekua na amani sana. Enzi za jiwe raia wengi wamekua na hofu sana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa. Sababu kuu ni Uzalendo uliotukuka juu ya Kampuni yetu iiyojaariwa watu mahiri, hodari, wepesi wa kung'amua mambo, wapole kama fufutende, wenye ukarimu na upendo na Wazalendo haswaaa.Naamini huandiki haya kwa bahati mbaya. Niishie hapo
Alijichomeka kwenye kundi Lao akiwa amevaa rasta bandia nini mkuu?Wale marasta achana nao wanamafunzo ya cdo pia wako vizuri kukusanya na kuchambua taarifa za ujasusi. Kuna mmoja alijiunga nao kilichofata ni msiba
Mwanzo nilitafuta jibu la kujibu nikaona ninyamaze maana nitaandika Gazette, umejibu kwa kifupi sana lakini kwa kueleweka.Magaidi wanaingia na kuishi marekani na ulaya ww unashangaa kuingia na kuishi Tanzania!?
Watu wengi hawapendi kuishi kwenye mishahara yao utafikiri wakati wanaomba hizo kazi hawakujua watalipwaje.Ndio maana mliunda kikosi kazi ili muuwe biashara za watu eeeeh?
Pale TRA wapo wengi walichukia kikosi kazi kukaa pembeni... Kamuulizie H. Sali.. Yupo analia na mshahara tuu baada ya kikosi kazi kuvunjwa... Watu walikuwa na uhakika wa mpaka million mbili kwa siku... Za Rushwa.... Mnavamia wafanyabiashara wakubwa kwakuwa mna go ahead (ruhusa ya Jiwe) mnawaambia toa kiasi hiki TRA.. Na mimi nipe kiasi hiki... Bila hivyo jiandae kwenda Kisutu na nitahakikisha hakuna dhamana.....
Ilikuwa wakati wenu kutesa... Sasa yalishapita hayo...
[emoji846][emoji846][emoji846]Hehehe
There you are my sister. Am always on your side.Ziko njia nyingi sana,leo hii tunaweza tusione madhara ya damu lakini vizazi vijavyo vikajikuta vinakutwa na misuko suko na wakitafuta chanzo wanaambiwa baba zenu na babu zenu walimwaga damu za watu wengi sana,watajisikiaje?Mimi unafikir nakubaliana na ccm hata kwa bahati mbaya jinsi wanavyoendesha hii nchi? Hapana. Natamani reformation kubwa sana lkn siyo kwa kuuana. Hicho kisasi chake achaaa. Nakuambia hicho kisasi ysikitamani. I know there are smart ways to deal with this. Ila siyo kwa kuua. Its never the best option.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kama waliingia na kuishi, sasa hivi wako wapi, bado wanasumbua?Magaidi kuingia ni jambo moja, magaidi kuleta madhara Kwa Taifa ni jambo lingine.
Vyombo vipatapo taarifa juu ya uwepo wa viashiria vya kuhatarisha USALAMA Huwa hawakurupuki, wanaachwa Ili kujua nguvu waliyonayo,idadi, wanamfanyia KAZI nani,silaha walizonazo nk.
Ile ni intelligentsia, pia vyombo vya juu kiusalama vipatapo taarifa hizo hushusha taarifa Kwa vyombo vya chini kimamlaka huku wakifuatilia Kwa ukaribu.
Masuala ya ndani sana hayakuhusu bt itoshe kusema uamkapo salama na kufanya shughuli zako Kwa amani, Mshukuru Mungu pia jua ya kuwa wapo wasiolala Kwa ajili Yako. Amen