Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hiyo kuendelea na vizazi vyake hapana siungi mkono kabisa, wapo wengine wanaoweza kutuongoza bila kikundi cha watu fulani. Lakini hekima na busara itumike.

Ila Riwaya bado haijafika mwisho hatujui Fanani atatamatishaje. Ikifika mwisho ndio tutajua alilenga nini, tutachambua mbinu za kifani na muundo wake, pia tutajikita kwenye Falsafa na Lengo la mwandishi.

Huu ni mwanzo wa ngoma ambayo ni Lele. Mwisho kabisa tutachambua kwa uhuru zaidi.
Hapo umeongea...

Ila hekima na busara ipi uliyomaanisha mkuu? Yeye mbona hatumii hizo busara na hekima?!

Hawa watatuletea shida.. ..wanachopigania sasa Ni kujimilikisha kampuni.. ... Abomoke tu maana naona tunakoelekea kutakuwa hakuna wa kumdhibiti. ...

Pole pole...tu..shoka moja mbuyu chini..
Analeta za kichaga sabusa kuita baga..
 
Tena haswaaaaa... alijipeleka kwa watoto wa town[emoji23][emoji23] ila paka hapana. Mzulumati next level

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hatujui vingi...

Lakini born hao investers anaolilia new CEO..awarudishe..ndio huko huko waliomfanya slim awe pale alipo.. ..yaani wapo Naye na wanamtumia..

Sasa Vasco da gama..Naye baadae atakuja kuwa Kama slim!..
 
Mbona haya yote nimeshayaongelea labda kwa mtazamo wako hukunielewa, nimeshasema sana hata kama siyo hapa kwamba watu wameacha misingi ya mwanzo wanawaza pesa,rushwa, wizi,nikashauri waache wawe na utu na kuwaonea huruma wananchi.

Kama nimewasema nyinyi mnaouchukia ufisadi sikumbuki kwa kweli nilisemaje, au nilisema kwa lugha ambayo haikueleweka. Lakini nipo pamoja na nyinyi katika kupinga ufisadi.

Uzalendo una mapana yake mengi, kuna wakati hata kama umechukia kuna namna ya kuongea na kufikisha ujumbe.

Pia kuisema serikali si kwa matusi, kejeli, ugomvi au kutoa siri za ndani na kuzianika nje halafu useme tayari nimemuweza.

Hivi umewahi kujiuliza, kwa mfano ndg yako amekukosea halafu ukaamua kupeleka siri zake nje ukamuanika hadharani mambo yake yote, aibu zake zote na kumuacha uchi.

Hapa unakuwa umemkomoa nani?
Uchi wa nduguyo ni wako pia, aibu ya nduguyo ni yako pia. Mahali penye uwezo wa kumsaidia kumvika nguo mvike na kumsitiri.

Kama una suruali mbili mpe moja, kama huna mshonee kiraka uyafiche makalio yake, kama huna kiraka cha nguo mvishe cha gunia, nacho kama hakipo mpatie kiraka cha bati hiki ataishi nacho muda mrefu na aibu yake haitaonekana.

Watu watakuona wewe kupitia ndg yako. Watanzania wenzangu nawaomba sana kwa yeyote anayesoma ujumbe huu tusitiriane, tuonyane kwa hekima na busara pale tunapokoseana.

Tuvumiliane sote tu wadhaifu, tunatofautiana katika kuwaza na kutenda. Sijakusudia kumkwaza mtu,mawazo yangu yanaweza kuwa si sawa, ila nimeongelea katika misingi ya uzalendo. Penye kuzungumza kwa hoja na iwe hivyo.

Kuishi kwa kuviziana, visasi, na mauaji si sawa mbele za Mungu. Haya ni mawazo yangu siyo sheria, sitarajii kumkwaza mtu au kumuhukumu.

Mahali palipo na diplomasia hapaharibiki neno.Mambo mengine tunaweza kuyamaliza kwa mazungumzo pasipo ugomvi.

Huu ndio Uzalendo.
Nadhani tuna shida kubwa tena sana ila matokeo ya mambo kama haya ya kujifanya mzalendo wakati mate do yako yanaonyesha wewe ni haramia vita hiyo tayari imeshaleta jeraha kwa taifa letu.

Utamaduni mapya unajengwa sasa hivi killing of leaders is the staily itafika unachoongea tena ndo tunakoendaa. Usanii usanii unaelekea mwisho
 
Hatujui vingi...

Lakini born hao investers anaolilia new CEO..awarudishe..ndio huko huko waliomfanya slim awe pale alipo.. ..yaani wapo Naye na wanamtumia..

Sasa Vasco da gama..Naye baadae atakuja kuwa Kama slim!..
Vasco da gama ana madhaifu yake. Na simtetei kabisa kwa hilo. The thing is, i just love it how je plays them[emoji23][emoji23] yaan honestly i love Intelligence. Any intelligent person inspires me a lot. Why should you be a looser? As for me, i want pk down. Born waangalie namna ya kumweka pembeni na siyo kwa mauaji. Pk mkatili sana. Born town always tumekua na amani sana. Enzi za jiwe raia wengi wamekua na hofu sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hapo umeongea...

Ila hekima na busara ipi uliyomaanisha mkuu? Yeye mbona hatumii hizo busara na hekima?!

Hawa watatuletea shida.. ..wanachopigania sasa Ni kujimilikisha kampuni.. ... Abomoke tu maana naona tunakoelekea kutakuwa hakuna wa kumdhibiti. ...

Pole pole...tu..shoka moja mbuyu chini..
Analeta za kichaga sabusa kuita baga..
Sikupingi. Ninaposema hekima na busara ninamaanisha liangaliwe kwa ukubwa wake huko mbeleni haitaleta shida?

Hekima na busara, kwa mfano kwamba atoke kwenye system akae pembeni atulie na mambo yake tu bado haitoshi?

Hivi tukiishi kwa visasi Kampuni yetu itakuwa ya namna gani huko mbeleni.Kwani hakuna sheria ambazo zinaweza kutumika kwa kuwajibishana?
 
Nadhani tuna shida kubwa tena sana ila matokeo ya mambo kama haya ya kujifanya mzalendo wakati mate do yako yanaonyesha wewe ni haramia vita hiyo tayari imeshaleta jeraha kwa taifa letu.

Utamaduni mapya unajengwa sasa hivi killing of leaders is the staily itafika unachoongea tena ndo tunakoendaa. Usanii usanii unaelekea mwisho
Hadi nimeogopa mkuu. Hivi mko serious kufanya hicho kitu kweli?
 
Sikupingi. Ninaposema hekima na busara ninamaanisha liangaliwe kwa ukubwa wake huko mbeleni haitaleta shida?

Hekima na busara, kwa mfano kwamba atoke kwenye system akae pembeni atulie na mambo yake tu bado haitoshi?

Hivi tukiishi kwa visasi Kampuni yetu itakuwa ya namna gani huko mbeleni.Kwani hakuna sheria ambazo zinaweza kutumika kwa kuwajibishana?
Naungana na ww kuwa solutions sio kumu-eliminate na hata mm sikubaliani nayo.

Ila we unavyoona anaweza kukubali kuwekwa nje ya system kama unavyosema ikiwa ana maslahi kila sehemu?

Kosa kubwa kwake na ambalo linafanya bado anataka kurun kampuni na kumuendesha kila ceo ni kufanya biashara akiwa white house
 
Vasco da gama ana madhaifu yake. Na simtetei kabisa kwa hilo. The thing is, i just love it how je plays them[emoji23][emoji23] yaan honestly i love Intelligence. Any intelligent person inspires me a lot. Why should you be a looser? As for me, i want pk down. Born waangalie namna ya kumweka pembeni na siyo kwa mauaji. Pk mkatili sana. Born town always tumekua na amani sana. Enzi za jiwe raia wengi wamekua na hofu sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni kweli wengi hawakukubaliana na siasa za jiwe, lakini naona inatumika kama excuse ya kupaka rangi mabaya aliyowahi kufanya born town.
Jiwe alifanya mengi ya ajabu hadharani, lakini hayawezi kufuta pia mabaya aliyowahi kufanya na pengine anayofanya born town. Na hapo ndio naona kuna nyuki born town wanaingia na kutumia hiyo excuse
 
Naungana na ww kuwa solutions sio kumu-eliminate na hata mm sikubaliani nayo.

Ila we unavyoona anaweza kukubali kuwekwa nje ya system kama unavyosema ikiwa ana maslahi kila sehemu?

Kosa kubwa kwake na ambalo linafanya bado anataka kurun kampuni na kumuendesha kila ceo ni kufanya biashara akiwa white house
Yawezekana ni kweli ana watu kila sehemu au ndivyo sivyo,mimi na wewe hatuna uhakika.

Hii kampuni ina watu wengi sana wenye akili nyingi,kama wameweza kuyaona haya yote hawawezi kuwatrace na kuwatambua wote waliopo nyuma yake na kukata chain nzima?

Kwanini asiwekwe bench tu akanyimwa access ya kumuendesh current ceo, hivi akimulikwa kwa macho makali bado anaweza kuendelea kusumbua?

Kwani sasa hivi anajilinda, anayemlinda hajui nyendo zake? Ninachotaka kusema hapa tusitatue matatizo kwa kulipizana visasi vya mauaji. Damu hizi zinaweza kuja kuligharimu Taifa huko mbeleni sisi tukiwa hatupo.

Ninavyojua kampuni ilisema tuanze upya tusameheane, kwahiyo hata kumuacha tu kwamba sasa wewe mzee pumzika inatosha kwake.

Hivi watu wakiambiwa warudishe mali zote za umma zilizoibwa na kufichwa nje na ndani halafu zikatumika kwa maslahi ya Taifa haitoshi?

Mkimuwajibisha kwa execution bila kujua kama ana mali,zipo kiasi gani, wapi,taifa litafaidika vipi? Maana tunaambiwa anafanya biashara, kama kuna mikatab ya hovyo ivunjwe na kurejeshwa serikalini iangaliwe upya.

Kilichotokea kwa jiwe sikukipenda kiliumiza watu wengi, hata huyu kitaumiza watu wengi pia, Mr.New culture alichofanyiwa na Kijana msema sana vyote sikuvipenda. Haki haikutendeka kwao .

New ceo anayotaka kufanyiwa bado siungi mkono hoja. Kampuni hiii ina watu mahiri wa diplomasia na maono kwanini wasikae mezani wakazungumza?

Uzalendo wangu ninamaanisha naipenda nchi yangu Rais wangu, Watanzania wenzangu wote, wana JF wote, mwenye Uzi wake Yoga na wewe pia, na wote ninaojibizana nao.

Bado hatujachelewa tunaweza kuanza upya kuijenga Kampuni yetu katika Upendo, Haki na Amani huku tukihubiri neno Uzalendo Kwanza.

Siko upande wowote, sijatumwa na yeyote, sifaidiki na chochote wala mfumo wowote ule wa upigaji, mimi ni mkulima ila ninaipenda Kampuni yangu.

Nawapenda makamanda wote mnaotulinda tuko shwari ndio maana tunapata muda wa kuandika haya,hata Ukraine na Russia wanatamani kuwa kama sisi sasa hivi lakini je yanayoendelea huko wameyastahili hayo na ni haki yao na Uzalendo? Kazi yenu ni njema sana. I salute you commandas!!
 
Naamini huandiki haya kwa bahati mbaya. Niishie hapo
 
Back
Top Bottom