Dark days 17/03/20...

Huu ndiyo ukweli wenyewe,hakuna mtu smart kwa Sasa ndani ya KAMPUNI wa kumuweza PAKA zaidi ya MR BON TOWN,akifa Mr Born Town Nchi itakuwa rasmi koloni la PK.

Akili zenu ni ndogo sana kufikiria. Na wewe Yoga, you should be careful na hii misleading and manipulating story. We are following up closely .

Take care !
 
Akili zenu ni ndogo sana kufikiria. Na wewe Yoga, you should be careful na hii misleading and manipulating story. We are following up closely .

Take care !
Wewe utakuwa hauko sawa..umeambiwa hii ni riwaya unaanza kuleta mihemuko.

Ukikatch feelings kunywa gahawa na kashata ulale.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hiki ndiyo kitu kinatufanya tuonekane hatujielewi kabisa, tunabweteka mnooo!
Inawezekanaje mtu atoke nchini kwao huko anakuja hapa na kujiachia tu bila kufuata sheria zetu?
 
sema mzee unapenda sana atention,,unawish ungekua Yoga sio[emoji23],,Unaongea sana mzee,ebu ongeaga kidogo na mafact asee,,bnafsi unanichosha unavyojikuta...Punguza shobo kwny thread za watu,fanya yako
Ohhh! Pole sana sikukusudia kukuchosha maana nilikuwa sijui kama ninayoandika yanakugusa. Niwie radhi tafadhali. Unasema niandike na kuongea tena kidogo wakati hapo hapo unachoka, huoni kama nitaendelea kukuchosha, au unapenda kuchoshwa huku ukilalamika?
 
Komando H uko wapi? Mzalendo halisi sijawahi kukuhofia. Usilale komando. Unategemewa sana na wanyonge wa nchi hii.

Uko mdogo wangu, piga kazi utuokoe.
 
Kama PK yuko ndani ya hii game,basi mimi nimeamua tu kuwa team born town kwa sasa sitaki born town auwawe..nataka afe natural death tu.
Paka anatumika tu kwenye game lakini likiisha hana chake. Usidhani new CEO mjinga kiasi hicho.
 
Hope tuta maliza two last epsode soon!!
Mkuu yoga, una kipaji adimu sana cha story telling, ukifika last episode, compile this into manuscript na ku publish kitabu, kitakiwa #Best Sale!.

Keep up this good work, nadhani tukifanya mashindano ya story telling, you are the best, umetengeneza hii fiction story which is so real hadi mtu kuamini it's a non fiction!. Mzee wetu Mohamed Said
atasubiri.
P
 
Kwayo Mohamed anakalishwa na yoga vzr tu
 
Hahahahaha hahahah #MGOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…