Dark days 17/03/20...

Na wewe u miongoni mwao wanaomwona godfather wa nchi hii ni mshindi dhidi ya late old CEO?

Kama u miongoni mwao utakuwa ni zero akili hamna, ila kama haupo ktk hao waaminio ushindi wa wa huyo mkora basi upo na akili timamu
 
Acha uongo na ujinga havikusaidii kitu
 
Tatizo ccm siku hii chama ikitoka huenda tutapata ahueni
 
Waweke wazi mkuu, kuwa mzalendo
Na mwingine ndiye huyu aliyetupanga hapa ili tuone borntown alivyo fala 😂

Wale wanaodhani kuwa paka ni boya ndio hao wanaopiga kelele hapa kuwa hii ni story ya uongo, ukiwauliza yoga ni nani hawana jibu, ila wapo hapa wanakodolea macho huu uzi.

Wazee mjue kuwa paka anajua kuongea kiswahili lugha yetu pendwa, ila sisi hatujui kuongea lugha yake pendwa 🙄

Akili za kuambiwa changanya na zako, paka ana makambi kila mkoa hapa TZ 😂
 
Tupo pamoja kambi ya FISI
 
Kum
Kumbuka pia kuna nabii wa Mungu allitabiri kuwa mzee wa mamvi atakuwa rais wa 5 wa Tanzania, leo hii tuna rais wa sita anatawala, huyo Mungu aliyemwonyesha huyo nabii ni tofauti na Mungu aliyempa kibali old CEO kuwa kiongozi wa nchi?

Kumbuka mzee wa mamvi anapumulia mashine sasa, ila jiulize kwa nini hajaupata u CEO mpaka wa leo?
 
Ukishajua kwa nini hata late CEO aliamua kumpoteza branch manager ili ampate mkono wa baunsa basi hutoangaika na hilo jibu.
Unajua nini maana ya mtu fulani kuwa na mapungufu ila ana faida huko mbeleni? Basi mtu huyo lazima umvumilie na mapungufu yake.
 
Mvi mana kilichomgharimu ni kuonekana anautaka urais ili kulipa fadhila kwa magenge ya wahuni. Pamoja na ujanja wa mr born town lakini tiss haiwezi kabisa yaani ipo juu yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…