Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
You mean old CEO alitolewa sadaka na Mungu? Siwezi kukubaliana na hilo maana hakuna agano lolote lililowekwa na Mungu kumtoa sadaka binadamuYou mean late CEO? mi naamini aliondolewa kwasababu alishindana na shetani direct kwa mambo mengi kama chanjo, kwa hapa ndani alipambana na magenge ya kihalifu. Mungu kaamua aruhusu wahuni wamuondoe kwasababu pia alipotakiwa kutuvusha ametuvusha, Mungu angeamua kuzuia wazushi angeweza pia. Pia kwasababu mlimkataa aliyeletwa na Mungu Sasa Mungu kawaletea mliyemtaka nyie sue aliyemtaka yeye, hapa lazima mlie na kusaga meno. Na Bado, huyu mama atawakomesha sanaaa