Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

You mean late CEO? mi naamini aliondolewa kwasababu alishindana na shetani direct kwa mambo mengi kama chanjo, kwa hapa ndani alipambana na magenge ya kihalifu. Mungu kaamua aruhusu wahuni wamuondoe kwasababu pia alipotakiwa kutuvusha ametuvusha, Mungu angeamua kuzuia wazushi angeweza pia. Pia kwasababu mlimkataa aliyeletwa na Mungu Sasa Mungu kawaletea mliyemtaka nyie sue aliyemtaka yeye, hapa lazima mlie na kusaga meno. Na Bado, huyu mama atawakomesha sanaaa
You mean old CEO alitolewa sadaka na Mungu? Siwezi kukubaliana na hilo maana hakuna agano lolote lililowekwa na Mungu kumtoa sadaka binadamu
 
System ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.

Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
Unasikitishaa[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu elewa kwamba tunasoma simulizi.. Ambazo hatuna uhakika nazo japo.... Kuna ukweli asilimia kidogo.. Pia kuna uongo kidogo ili simulizi hizi zinoge na kuongeza uelewa wa mambo...

Mimi nilibahatika kuonana na mtu mdogo sana.... aliye unga JUHUDI ZA JIWE..... na kwa cheo chake cha chini ni local representative (diwani) ...

Alikaa kimya kwenye juhudi zake... Mpaka siku moja akatoa siri kwamba alidakwa na kuwekwa sehemu ambayo hajui..... Na kupewa masharti makali... Hakununuliwa.... Na hata leo yupo tuu mtaani....

Alisema alijua anayo familia inamtegemea... Na hawezi kurisk maisha yake.... Bora ajiuzuru.. Na kuunga juhudi.... Basi.... Aliambiwa nini mpaka leo ni siri yake...

Huwezi kusema eti kununuliwa.... Kulikuwa na kitu behind The since...

Fanya tafiti kidogo... Utajua.... Eti nchi imechezewa.....? Mkuu acha kabisa.... Wakati ndio nchi alikuwa anaichezea mwenyewe...
Hawa wazee wa legacy ni wakupuuzwa mkuu,yaaan hawaon tulivyokua tunateseka,hawaon huyu ndakoma na mwenzie yabasa na kina piha walivokua wanawaropokea wazee wastaafu?alaf eti leo late CEO asihusike kwenye lawama,n bora mara elf kumi utawala wa miaka 10 ya born town kuliko miaka 7 ya late CEO.
 
Lakini si unasikia kilio cha born town! Analalamika kuwa old CEO alisababisha akaporomoka haswaa [emoji23][emoji23]

Mango naye aliminywa kende hadi kakimbilia kwa kabwela mzito.

Mpaka sasa sijauona usmant wa born town na genge lake maana weshavulishwa mavazi sasa wanajiuma uma tu na kujifariji, time will tell.
Kati ya borntown na late CEO na amevuliwa nguo,kuna usemi unasema aliecheka mwisho ndio amecheka vyema,sasa mango na borntown sawa waliminywa kende au waliporomoshwa leo kiko wapi mkuu,wote wako zao majukwaani huko wanaendelea walipoishia wakati mwenzao amebaki mifupa tuu.
 
sijakuelewa unaposema "walishavulishwa mavazi" wakati kwa sasa Borntown ndie remote control wa king'amuzi cha BimPemba na kaambiwa airudishe system ya Borntown na akairudisha na kuwatoa wa late CEO kwa hiyo mr borntown is awake now
Huyu jamaa anangangania kumpamba marehem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au ndo marehem asemwi vbaya
 
Kwamba wako hai halafu jiwe anaoza kaburini wala hawatafuti hao wahuni.

Sasa hiyo taharuki waliyo nayo ni juu ya nn?

Nikwambie kitu "hakuna smart man anayeishi duniani kwa sasa, hata aliyevumbua hiyo simu uliyo nayo hayupo (ila alikuwa mtu smart sana)

sasa hao majizi unadai kuwa wako smart [emoji23][emoji23] hawajawahi hata kuleta jambo jipya hapa duniani, usmart wao ni nn?

Nasikitika sana kuona Tanzania kuna wajinga like u
Wasu-**** mnajiona mko smart sana,,,team born town tunawang'ong'a visogoni tuu,,,
 
Ukishajua kwa nini hata late CEO aliamua kumpoteza branch manager ili ampate mkono wa baunsa basi hutoangaika na hilo jibu.
Unajua nini maana ya mtu fulani kuwa na mapungufu ila ana faida huko mbeleni? Basi mtu huyo lazima umvumilie na mapungufu yake.
Hapa nimekuelewa,kumbe aliamua kuvumilia tu😅😅😅😅🤣
 
Na mwingine ndiye huyu aliyetupanga hapa ili tuone borntown alivyo fala 😂

Wale wanaodhani kuwa paka ni boya ndio hao wanaopiga kelele hapa kuwa hii ni story ya uongo, ukiwauliza yoga ni nani hawana jibu, ila wapo hapa wanakodolea macho huu uzi.

Wazee mjue kuwa paka anajua kuongea kiswahili lugha yetu pendwa, ila sisi hatujui kuongea lugha yake pendwa 🙄

Akili za kuambiwa changanya na zako, paka ana makambi kila mkoa hapa TZ 😂
Aisee binafsi nimekuelewa ,Kuna kipindi nikawa taasisi MOJA Kama miezi 4 Bwana pale palikua na kijana kuanzia juu mpaka chini ni paka culture,so tulizoena KWa mda huo ila siku nikamuuliza mbna unafanana Sana paka culture akabaki chekacheka,ila Cha kushangaza ameajiriwa na JMT so uyo ni mmoja tu je wako wangapi?

Lakin pia umeongea vizuri mtoa tamthilia hatujui ni nani , WENDA akawa mtz au mtu nje ya tz
 
Ila ninahisi huyu mwandishi ni pandikizi la paka wallah 😂
 
Kati ya borntown na late CEO na amevuliwa nguo,kuna usemi unasema aliecheka mwisho ndio amecheka vyema,sasa mango na borntown sawa waliminywa kende au waliporomoshwa leo kiko wapi mkuu,wote wako zao majukwaani huko wanaendelea walipoishia wakati mwenzao amebaki mifupa tuu.
Hapa ndipo nilipocheka hovyo[emoji23][emoji23][emoji119]
Yaan born town anawachezea sharubu kila mahali. Hawana pa kupita. Me napenda watu wenye such intelligence. Kwenye ujambazi siko nae. Ila how he plays them them. Ni kama movies tu, napenda sana movies za wahusika with smart brains. Mtu mpaka wanakuingilia ndani kwako wanakupoison unakufa how is it uwe winner?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Aisee binafsi nimekuelewa ,Kuna kipindi nikawa taasisi MOJA Kama miezi 4 Bwana pale palikua na kijana kuanzia juu mpaka chini ni paka culture,so tulizoena KWa mda huo ila siku nikamuuliza mbna unafanana Sana paka culture akabaki chekacheka,ila Cha kushangaza ameajiriwa na JMT so uyo ni mmoja tu je wako wangapi?

Lakin pia umeongea vizuri mtoa tamthilia hatujui ni nani , WENDA akawa mtz au mtu nje ya tz
Yaaan nikisomaga hivi roho inaniumaga kweli

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom