Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mi naomba kujua,kwenye hii riwaya Mr.born town anaonekana ni mwamba kwelikweli sasa yule mzee wa mkono wa baunsa kipindi anamponda ule ujasiri aliupata wapi?mana alikua anamponda kweĺikweli adi tukaamini mr.born town haogopewi kabisa na mkono wa baunsa!
Na wewe u miongoni mwao wanaomwona godfather wa nchi hii ni mshindi dhidi ya late old CEO?

Kama u miongoni mwao utakuwa ni zero akili hamna, ila kama haupo ktk hao waaminio ushindi wa wa huyo mkora basi upo na akili timamu
 
Mkuu elewa kwamba tunasoma simulizi.. Ambazo hatuna uhakika nazo japo.... Kuna ukweli asilimia kidogo.. Pia kuna uongo kidogo ili simulizi hizi zinoge na kuongeza uelewa wa mambo...

Mimi nilibahatika kuonana na mtu mdogo sana.... aliye unga JUHUDI ZA JIWE..... na kwa cheo chake cha chini ni local representative (diwani) ...

Alikaa kimya kwenye juhudi zake... Mpaka siku moja akatoa siri kwamba alidakwa na kuwekwa sehemu ambayo hajui..... Na kupewa masharti makali... Hakununuliwa.... Na hata leo yupo tuu mtaani....

Alisema alijua anayo familia inamtegemea... Na hawezi kurisk maisha yake.... Bora ajiuzuru.. Na kuunga juhudi.... Basi.... Aliambiwa nini mpaka leo ni siri yake...

Huwezi kusema eti kununuliwa.... Kulikuwa na kitu behind The since...

Fanya tafiti kidogo... Utajua.... Eti nchi imechezewa.....? Mkuu acha kabisa.... Wakati ndio nchi alikuwa anaichezea mwenyewe...
Acha uongo na ujinga havikusaidii kitu
 
Hiyo hali kwenye shule zetu iliwahi lini kuwa nzuri? Social service zingine zote tunalipia, maji, umeme , hospital huko pako vizuri?
Huduma za afya tunalipia kwa gharama lakini nenda kwenya mahospital yetu uone Kama pako vizuri.
Tatizo tulilonalo sio kulipia Wala kutolipia huduma. Tatizo letu kubwa ni hatuna UONGOZI. Hata Leo tuanze kulipia kila mwaka mil 1 kwenye elimu, kamaa hatuna UONGOZI BORA ni kazi bure.
Vyuoni tunalipa ada kupitia bodi ya mikopo na wanaolipa wenyewe binafsi. Kaangalie hali za huko Kama ni nzuri
Tatizo ccm siku hii chama ikitoka huenda tutapata ahueni
 
Waweke wazi mkuu, kuwa mzalendo
Na mwingine ndiye huyu aliyetupanga hapa ili tuone borntown alivyo fala 😂

Wale wanaodhani kuwa paka ni boya ndio hao wanaopiga kelele hapa kuwa hii ni story ya uongo, ukiwauliza yoga ni nani hawana jibu, ila wapo hapa wanakodolea macho huu uzi.

Wazee mjue kuwa paka anajua kuongea kiswahili lugha yetu pendwa, ila sisi hatujui kuongea lugha yake pendwa 🙄

Akili za kuambiwa changanya na zako, paka ana makambi kila mkoa hapa TZ 😂
 
Na mwingine ndiye huyu aliyetupanga hapa ili tuone borntown alivyo fala [emoji23]

Wale wanaodhani kuwa paka ni boya ndio hao wanaopiga kelele hapa kuwa hii ni story ya uongo, ukiwauliza yoga ni nani hawana jibu, ila wapo hapa wanakodolea macho huu uzi.

Wazee mjue kuwa paka anajua kuongea kiswahili lugha yetu pendwa, ila sisi hatujui kuongea lugha yake pendwa [emoji849]

Akili za kuambiwa changanya na zako, paka ana makambi kila mkoa hapa TZ [emoji23]
Tupo pamoja kambi ya FISI
 
Kum
Kwanini Mungu aliwapa watanzania rais dikteta na muuaji? Au kwanini Mungu aliruhusu rais dikteta na muuaji awatawale nyie malaika msio na dhambi? Hamkumuomba Mungu awape rais mzuri 2015? Kama mlimuomba kwanini Mungu hakuwajibu akawapa muuaji? Na kama hamkumuomba Mungu awape rais mzuri unafikiri kosa ni la nani?
Kwa taarifa Yako Magufuli na mtawala yoyote hapa duniani huwekwa na Mungu. Na Mungu akimkataa mtu asiwe mtawala hatatawala hata iweje
Kumbuka pia kuna nabii wa Mungu allitabiri kuwa mzee wa mamvi atakuwa rais wa 5 wa Tanzania, leo hii tuna rais wa sita anatawala, huyo Mungu aliyemwonyesha huyo nabii ni tofauti na Mungu aliyempa kibali old CEO kuwa kiongozi wa nchi?

Kumbuka mzee wa mamvi anapumulia mashine sasa, ila jiulize kwa nini hajaupata u CEO mpaka wa leo?
 
Mi naomba kujua,kwenye hii riwaya Mr.born town anaonekana ni mwamba kwelikweli sasa yule mzee wa mkono wa baunsa kipindi anamponda ule ujasiri aliupata wapi?mana alikua anamponda kweĺikweli adi tukaamini mr.born town haogopewi kabisa na mkono wa baunsa!
Ukishajua kwa nini hata late CEO aliamua kumpoteza branch manager ili ampate mkono wa baunsa basi hutoangaika na hilo jibu.
Unajua nini maana ya mtu fulani kuwa na mapungufu ila ana faida huko mbeleni? Basi mtu huyo lazima umvumilie na mapungufu yake.
 
Kum

Kumbuka pia kuna nabii wa Mungu allitabiri kuwa mzee wa mamvi atakuwa rais wa 5 wa Tanzania, leo hii tuna rais wa sita anatawala, huyo Mungu aliyemwonyesha huyo nabii ni tofauti na Mungu aliyempa kibali old CEO kuwa kiongozi wa nchi?

Kumbuka mzee wa mamvi anapumulia mashine sasa, ila jiulize kwa nini hajaupata u CEO mpaka wa leo?
Mvi mana kilichomgharimu ni kuonekana anautaka urais ili kulipa fadhila kwa magenge ya wahuni. Pamoja na ujanja wa mr born town lakini tiss haiwezi kabisa yaani ipo juu yake!
 
Back
Top Bottom