Dark days 17/03/20...

You mean old CEO alitolewa sadaka na Mungu? Siwezi kukubaliana na hilo maana hakuna agano lolote lililowekwa na Mungu kumtoa sadaka binadamu
 
Unasikitishaa[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hawa wazee wa legacy ni wakupuuzwa mkuu,yaaan hawaon tulivyokua tunateseka,hawaon huyu ndakoma na mwenzie yabasa na kina piha walivokua wanawaropokea wazee wastaafu?alaf eti leo late CEO asihusike kwenye lawama,n bora mara elf kumi utawala wa miaka 10 ya born town kuliko miaka 7 ya late CEO.
 
Kati ya borntown na late CEO na amevuliwa nguo,kuna usemi unasema aliecheka mwisho ndio amecheka vyema,sasa mango na borntown sawa waliminywa kende au waliporomoshwa leo kiko wapi mkuu,wote wako zao majukwaani huko wanaendelea walipoishia wakati mwenzao amebaki mifupa tuu.
 
sijakuelewa unaposema "walishavulishwa mavazi" wakati kwa sasa Borntown ndie remote control wa king'amuzi cha BimPemba na kaambiwa airudishe system ya Borntown na akairudisha na kuwatoa wa late CEO kwa hiyo mr borntown is awake now
Huyu jamaa anangangania kumpamba marehem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au ndo marehem asemwi vbaya
 
Wasu-**** mnajiona mko smart sana,,,team born town tunawang'ong'a visogoni tuu,,,
 
Hapa nimekuelewa,kumbe aliamua kuvumilia tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£
 
Aisee binafsi nimekuelewa ,Kuna kipindi nikawa taasisi MOJA Kama miezi 4 Bwana pale palikua na kijana kuanzia juu mpaka chini ni paka culture,so tulizoena KWa mda huo ila siku nikamuuliza mbna unafanana Sana paka culture akabaki chekacheka,ila Cha kushangaza ameajiriwa na JMT so uyo ni mmoja tu je wako wangapi?

Lakin pia umeongea vizuri mtoa tamthilia hatujui ni nani , WENDA akawa mtz au mtu nje ya tz
 
Ila ninahisi huyu mwandishi ni pandikizi la paka wallah πŸ˜‚
 
Hapa ndipo nilipocheka hovyo[emoji23][emoji23][emoji119]
Yaan born town anawachezea sharubu kila mahali. Hawana pa kupita. Me napenda watu wenye such intelligence. Kwenye ujambazi siko nae. Ila how he plays them them. Ni kama movies tu, napenda sana movies za wahusika with smart brains. Mtu mpaka wanakuingilia ndani kwako wanakupoison unakufa how is it uwe winner?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yaaan nikisomaga hivi roho inaniumaga kweli

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…