Dark days 17/03/20...

Kila kitu hakufanya yeye ila alikuwa anasingiziwa.??
 
Huyu mwenye uzi yuko wapi jamani?

Yaani tangu juzi hata mswaki sijapiga niko hapa namngojea..
Tuliza boli, yoga kalala mida hii maana huko aliko ni usiku wa manane sasa πŸ˜„

Akiamka atatuma mwendelezo leo ila itakuwa ni usiku wa manane kwetu, hivyo tukeshe tu yoga aliahidi atatuma kitu amazing leo, usilale.
 
Hawa ndiyo wahamiaji haramu wazee wa M23, washenzi wa kitusi wengi sana humu ndani.
Mungu amjaalie Born Town hata miaka 70+ ili tuwafurushe hawa mbwa wa kitusi
Utawala wa borntown kwishaa, current CEO keshajiondoa kwa team borntown.

Endelea kujifariji kuwa mtamfurusha paka kwa mshale na rungu ila paka noma sana maana anajua hadi shuka anayojifumika borntown ipoje πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lile lilikuwa SHETANI haswa tena Lenye mapembe yaliyojificha kwenye lile Bichwa lake kama Korosho.
Mshenzi yule asiamke kamwe hata siku ya kiama.
Shetani ni yule anayekutoza kodi kubwa ili apate hela ya kwenda kula bata ughaibuni.

Msalimie current CEO wako japo hayupo ndani ya kampuni yupo kwa mjomba ake mwarabu. Salimia sana huyo malaika wa ujinga wako πŸ˜„πŸ˜„
 
Humu jf wamejaa sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa mbona wamsimanga mleta hekaya, au hujui kuwa naye ni mhamiaji? Angalia usije sababisha story ikaishia njiani tulia mpewe ubuyu na huyu mhamiaji, maana kina LUGUMWI wamekazana kutoza kodi ili bosi wao aendelee kula bata ughaibuni, sasa unadhani nani atakupa vitu adimu kama sio mkimbizi?

Tulia mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…