Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kaa kwa kutulia the late CEO hakuwahi kuwa na tamaa za kutawala milele, yeye alitaka kwanza awapige chini wasakatonge, anyooshe kampuni basi na muda wake ungefika angetoka bila shida. Taama za majambazi ndo zilifanya mkakati wa kumtangaza kuwa anataka kuongoza milele. Ukwendreeeee huko kama hujui mambo soma comments.

Tajiri alitekwa the late CEO akasingiziwa kuwa ni yeye kumbe ni mbinu za born in town.
Hii yote ni kumchafua the late CEO.

Hii ni simulizi haina uhalisia na kilichomo bichwani kwako. Soma vitabu uenjoy simulizi hii.
Kila kitu hakufanya yeye ila alikuwa anasingiziwa.??
 
Huyu mwenye uzi yuko wapi jamani?

Yaani tangu juzi hata mswaki sijapiga niko hapa namngojea..
Tuliza boli, yoga kalala mida hii maana huko aliko ni usiku wa manane sasa 😄

Akiamka atatuma mwendelezo leo ila itakuwa ni usiku wa manane kwetu, hivyo tukeshe tu yoga aliahidi atatuma kitu amazing leo, usilale.
 
Hawa ndiyo wahamiaji haramu wazee wa M23, washenzi wa kitusi wengi sana humu ndani.
Mungu amjaalie Born Town hata miaka 70+ ili tuwafurushe hawa mbwa wa kitusi
Utawala wa borntown kwishaa, current CEO keshajiondoa kwa team borntown.

Endelea kujifariji kuwa mtamfurusha paka kwa mshale na rungu ila paka noma sana maana anajua hadi shuka anayojifumika borntown ipoje 😂😂
 
Lile lilikuwa SHETANI haswa tena Lenye mapembe yaliyojificha kwenye lile Bichwa lake kama Korosho.
Mshenzi yule asiamke kamwe hata siku ya kiama.
Shetani ni yule anayekutoza kodi kubwa ili apate hela ya kwenda kula bata ughaibuni.

Msalimie current CEO wako japo hayupo ndani ya kampuni yupo kwa mjomba ake mwarabu. Salimia sana huyo malaika wa ujinga wako 😄😄
 
Humu jf wamejaa sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa mbona wamsimanga mleta hekaya, au hujui kuwa naye ni mhamiaji? Angalia usije sababisha story ikaishia njiani tulia mpewe ubuyu na huyu mhamiaji, maana kina LUGUMWI wamekazana kutoza kodi ili bosi wao aendelee kula bata ughaibuni, sasa unadhani nani atakupa vitu adimu kama sio mkimbizi?

Tulia mrembo.
 
Back
Top Bottom