kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
OMG nimeshamjua, Mungu aepushie mbali hiki kitu... Moyo umeshtuka mno.Yule dada wa taifa sham nginja
Anasema baada ya MSTAAFU anaeaga kuwa upande wa mama Hadi kuhakikisha anaapishwa kukaaa kitini!!
Alipelekewa zawadi ya gari ya mil.800 kama zawadi Sasa baada ya KUPEWA funguo akamtuma kijana wake akakague Gari !yule msaidizi akakauka ndani ya Gari na kufa papi HAPO !!KUMBE ilikuwa mtego KWA muagaji wa magu kule Mwanza!
Dada Anasema japo ameomba kustaafu lakini too late coz sumu ishaingia kwenye blood circulatory system!na ata nock down soon and his days are numbered!!!
Decoded!
Refer DK 45 za ITV majuzi akihojiwa na Farhia huyo anaehojiwa Ndio Huyo!!!