Dark days 17/03/20...

Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Wewe ni jinsia gani?

Kama ni ke Mara ya mwisho kufanya mapenzi ni lini?
 
So mkuu mstaafu sio Bt ni mabakamabaka?
 
Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Yoga tumeona mwaka huu kumetulia sana hakuna vifoo wala taharuki vp mwakani usalama itakuwepo au ndyo mmoja mmoja ataanza kuanguka
 
Doh!! Sorry sina majibu ya hili dear[emoji6]
 
Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Yoga mi nna shida serious juzi kati nilifanyiwa upasuaji wa mishipa ya moyo hivyo kwa hali yangu ya kiafya na changamoto iliyonikumba nimeshautiwa nihame Rufiji nije Dar karibu na jkci lkn nimenza kukumbana na changamoto toka kwa mkuu wa idara inshort urasimu mkubwa mnoo hawataki nihame bila sababu wala kuhudhuria Clinic naomba ongea na maza nipate uhamisho tu kutoka Rufiji kuja Dar jamani wanataka nife niwaache wanangu bado wadogo wa kwanza Imma miaka 3 na nusu na wapili Gracious mwaka 1 na nusu.
Yoganisaidie hili plz
 
Swali langu yoga:
Kuna tetesi Maza aka informer wanted to resign from her position during the rule of the former despotic leader aka late ceo. Any truth in this and what was a reason?

Karibu huku kwetu Montserrat tule bata na warembo walioenda shule
 
If its true, pole sana kipenzi!! Anyways sina conection hiyo ila kuna wahusika wako humu wanapita pita hapa watakusaidia!! Pole sana

#seen#
 
Yoga what are the dark days za branch manager wa magogoji na kwanini aliekana kwenye ofisi ndogo za wavaa kobazi hapa nchini..nini kipo nyuma yake..kwanini kesi zake zinazimwa sana.?

Tofauti na yule branch manager wa kwa mr new culture.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yoga season 2 weka codes ngumu ngumu haswa ili uwakate ngebe hawa wanao dandia huu uzi kwa mbele na kuharibu kwa makusudi kwa commnts zisizo na maana...mpaka najiuliza walikuwa wapi wasiulete wao...huu uzi upewe heshima yake..[emoji1614]
Yaani ahakikishe sisi wenye one from tabora boys na GPA 4.6 from university of Vancouver ndio tunaelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…