Espabpabes
Member
- Jun 27, 2022
- 14
- 25
Africa kulaaniwa akareate na watoto wa Nuhu ,kina hamu,yafeti mmojawapo alilaaniwa sijui ndo AfricaSoma mwenyewe usisikize, uliwackia wakitaja Tanganyika?

University of Vamcouver kipo nchi gani?Yaani ahakikishe sisi wenye one from tabora boys na GPA 4.6 from university of Vancouver ndio tunaelewa tu
Ww ni shabiki wa team gan kati ya hizi simba au yanga ??[emoji41][emoji41][emoji41] wacha wee
CanadaUniversity of Vamcouver kipo nchi gani?
Kuna mtu kaniambia Mshana dark days ni coded thread yenye kugusa maslahi makubwa ya wakubwa..MAKINIKA NAYO..! Tangu hapo nimeuogopa huu uzi[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nimekupata mkuu.Huo ni unabii.
Ok dig deep maana ya Tanganyika na mipaka yake kabla ya ujio wa WAKOLONI ilianza na kuishia wap.
Nenda pia Lango la jiji, kawaulize wazee maana ya ''Bandari salama''.
Nenda ktk historia, uliza pia ilikuwaje hapa kukawa center ya ukombozi wa HARAKATI za ukombozi Afrika nzima na kimbilio la wote WALIODHULUMIWA HAKI.
MISRI ndipo alipokimbilia Mary na mtoto Yesu Kutoka Israel mara ya kwanza kuepuka mtoto kuuwawa na Pirato.
MISRI ya rohoni IPO Africa. Mto NILE umeanza nyanza Hadi MISRI. Chanzo ni hapa.
Mto NILE umetabiriwa kukauka, unadhan Israel na MISRI time hii watakambilia wapi kufuata maji?
Kikombe Cha Loliondo kilileta watu karibia Kutoka pande nyingi za Dunia ingawa kilitoka Kuzimu.
Yajayo yatakuwa zaidi ya hapo, Dunia nzima watakuja kupata pumziko hapa.
Amen
Lete vituHabari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!
After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,
Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Mkuu Yoga imekaaje hii?,Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!
After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,
Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Cha msingi muwe mnaelewa ujumbe!!Mkuu Yoga imekaaje hii?,
"as we are about to drop..
." au
"as I am about to drop..."
Samahani mkuu..tena sana...karibu milembe dodoma tupige storyHuo ni unabii.
Ok dig deep maana ya Tanganyika na mipaka yake kabla ya ujio wa WAKOLONI ilianza na kuishia wap.
Nenda pia Lango la jiji, kawaulize wazee maana ya ''Bandari salama''.
Nenda ktk historia, uliza pia ilikuwaje hapa kukawa center ya ukombozi wa HARAKATI za ukombozi Afrika nzima na kimbilio la wote WALIODHULUMIWA HAKI.
MISRI ndipo alipokimbilia Mary na mtoto Yesu Kutoka Israel mara ya kwanza kuepuka mtoto kuuwawa na Pirato.
MISRI ya rohoni IPO Africa. Mto NILE umeanza nyanza Hadi MISRI. Chanzo ni hapa.
Mto NILE umetabiriwa kukauka, unadhan Israel na MISRI time hii watakambilia wapi kufuata maji?
Kikombe Cha Loliondo kilileta watu karibia Kutoka pande nyingi za Dunia ingawa kilitoka Kuzimu.
Yajayo yatakuwa zaidi ya hapo, Dunia nzima watakuja kupata pumziko hapa.
Amen
No comment. Ubarikiwe. AmenSamahani mkuu..tena sana...karibu milembe dodoma tupige story
Sawa kunywa maji ulale.[emoji16][emoji16] ujinga ulioenda shule,....
Hakuna code Wala Unicode hapa Ni kikundi fulani Cha watu wamekaa na kuandaa hili bandiko,
Kwa ufupi Ni kundi liliokuwa nyuma ya legacy ya jiwe,