Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kuna mtu kaniambia Mshana dark days ni coded thread yenye kugusa maslahi makubwa ya wakubwa..MAKINIKA NAYO..! Tangu hapo nimeuogopa huu uzi[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Attachments

  • IMG-20220704-WA0072.jpg
    IMG-20220704-WA0072.jpg
    39.5 KB · Views: 123
Huo ni unabii.

Ok dig deep maana ya Tanganyika na mipaka yake kabla ya ujio wa WAKOLONI ilianza na kuishia wap.

Nenda pia Lango la jiji, kawaulize wazee maana ya ''Bandari salama''.

Nenda ktk historia, uliza pia ilikuwaje hapa kukawa center ya ukombozi wa HARAKATI za ukombozi Afrika nzima na kimbilio la wote WALIODHULUMIWA HAKI.

MISRI ndipo alipokimbilia Mary na mtoto Yesu Kutoka Israel mara ya kwanza kuepuka mtoto kuuwawa na Pirato.

MISRI ya rohoni IPO Africa. Mto NILE umeanza nyanza Hadi MISRI. Chanzo ni hapa.

Mto NILE umetabiriwa kukauka, unadhan Israel na MISRI time hii watakambilia wapi kufuata maji?

Kikombe Cha Loliondo kilileta watu karibia Kutoka pande nyingi za Dunia ingawa kilitoka Kuzimu.

Yajayo yatakuwa zaidi ya hapo, Dunia nzima watakuja kupata pumziko hapa.

Amen
Nimekupata mkuu.
 
Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Lete vitu
Nikiona tabasamu lako na hilo wigi kichwan mwili unasisimka najua mambo mazuri yanakuja 😀😀😀
 
Habari ya mchana leds and gents!! [emoji123][emoji123] Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji123]
Mkuu Yoga imekaaje hii?,
"as we are about to drop..
." au
"as I am about to drop..."
 
Mkuu Yoga imekaaje hii?,
"as we are about to drop..
." au
"as I am about to drop..."
Cha msingi muwe mnaelewa ujumbe!!
Hata hao Wenye lugha yao hawaongei correct, structured and grammared english!!!
Ni ishu ya uelewa tu!!?kwani wewe unaandika humu kiswahili sanifu au cha KAWAIDA!!?

NIMEUONA USHAMBA HUU MARA NYINGI SANA JUKWAANI AS IF KIINGEREZA NI LUGHA MAMA WAKATI HATA KISWAHILI KINATUPIGA CHENGA!!!!
 
Huo ni unabii.

Ok dig deep maana ya Tanganyika na mipaka yake kabla ya ujio wa WAKOLONI ilianza na kuishia wap.

Nenda pia Lango la jiji, kawaulize wazee maana ya ''Bandari salama''.

Nenda ktk historia, uliza pia ilikuwaje hapa kukawa center ya ukombozi wa HARAKATI za ukombozi Afrika nzima na kimbilio la wote WALIODHULUMIWA HAKI.

MISRI ndipo alipokimbilia Mary na mtoto Yesu Kutoka Israel mara ya kwanza kuepuka mtoto kuuwawa na Pirato.

MISRI ya rohoni IPO Africa. Mto NILE umeanza nyanza Hadi MISRI. Chanzo ni hapa.

Mto NILE umetabiriwa kukauka, unadhan Israel na MISRI time hii watakambilia wapi kufuata maji?

Kikombe Cha Loliondo kilileta watu karibia Kutoka pande nyingi za Dunia ingawa kilitoka Kuzimu.

Yajayo yatakuwa zaidi ya hapo, Dunia nzima watakuja kupata pumziko hapa.

Amen
Samahani mkuu..tena sana...karibu milembe dodoma tupige story
 
Back
Top Bottom