Dark days 17/03/20...

Katoto ka siri tena!? Ina maana jamaa alikuwa anajipigia mke wa mtu hadi kumpachika mimba? Kweli siri sirini serikalini.
 
Halafu niliwahi kuambiwa hiki kitu

Kwamba ceo wa sita ni mtoto wa nje wa ceo wa pili

Pia huyo deep informer aliwahi kuwa mchepuko wa born town

Vile vile mr diplomatic ni mdogo wa nje wa born town

Hii kampuni ina mambo mengi mno asee
 
M C C ni ileile
Stay kima
SIe wakali wa hesabu za computer tunacheza TU na binary codes TUna encrypt luckyline naongeza popcorn HUKU utalipa
 
Yoga ww ni Mtanzania Kweli ??. Umetumwa kugombanisha viongozi wetu. This smells bad. Your codes ziko open ili ufikishe ujumbe. Unataka wananchi wachukie hawa wazee wetu.
Hapa amani ya taifa imeingiliwa. Ww itakua ni mtu wa Nje unataka ugombanishe watanzania. Masuala ya kijasusi unaandika hv kweupe.
Nasisi tumeamini. Mtu ameandika yaleyale na kuunganisha ya kwenye vijiwe juu ya viongozi wetu.
We need critical thinking on this Kama watanzania.
Mapugufu yapo katika Usimamizi wa rasilimali zetu na Kodi. Lakn huu uandishi unafikilisha.
Eeeh Mungu tulindie taifa letu hata Kama wezi wapo.
 
Umeichukulia kiutofauti sana kiongozi
hii ni story km story zingine,najiuliza kwni watu wameshindwa kujenga picha nyingine zaidi ya hzo zinazofikiliwa
 
Umeichukulia kiutofauti sana kiongozi
hii ni story km story zingine,najiuliza kwni watu wameshindwa kujenga picha nyingine zaidi ya hzo zinazofikiliwa
Ikiwa ni story Kama story zingine haina shida mkuu lkn umeona wachangiaji wegne wanahusianisha na watu bila kupepesa na codes zingne ni rahisi kuelewa. Huoni chuki inapandwa kwa watu.
 
Mkuu simulizi inapotolewa wewe jenga akilini mwako picha inayokijia, hayo mengine kuhusu "codes" ni za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Zile simulizi za kwenye vitabu mbona hamjawahi kuzihoji? Ukitaka kuenjoy maisha bila stress wewe soma simulizi bila kuweka hisia zako. all the best
 
Nimeonyeshwa kuwa patatokea tetemeko kubwa la ardhi hapa Tanzania ,...ambalo litaharibu makazi,.miundo mbinu nchini na baadhi ya maisha ya watu yatapotea..tujiandae kisaikolojia ndugu zangu..
Magumu tunayopitia kama kampuni yanaenda kutatuliwa Kwa "CODE" ifuatayo:

Yuaja CEO baada ya huyu na atakaa muda mrefu Ili atimize yafuatayo,

(2 Wafalme 9:6-7).
Akainuka akaingia nyumbani, naye akayamimina Yale mafuta kichwani mwake, akamwambia,

BWANA, Mungu wa Israel, asema hivi, nimekutia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa BWANA, yaani juu ya ISRAEL,

Nawe utawapiga NYUMBA ya Ahabu, bwana wako, Ili nijilipize KISASI Cha DAMU ya watumishi wangu manabii, na Damu ya watumishi wote wa BWANA mkononi mwa Yezebeli.

Amen
 
Mkuu
Nyumba ya Ahabu itakayopigwa ni ipi!!? MAFISADI na chama chao kilichodumu madarakani muda mrefu au!!?
 
Mkuu
Nyumba ya Ahabu itakayopigwa ni ipi!!? MAFISADI na chama chao kilichodumu madarakani muda mrefu au!!?
Wanadhani wamejipanga na safu zao kuhujumu members wa kampuni wakidhani kwamba hayupo wa kuwazuia lakini,

Kwa yanayoendelea hivi sasa CEO ajaye itabidi awe wa mkono wa chuma kupondaponda waovu wote Hilo HALIKWEPEKI.

Njia Gani itatumika hayo yatimie, Mungu ajua na hajawahi shindwa.

Kwa Mungu Pana majibu yote, wakitubu na kubadilika yaeza badilika pia.

Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…