Dark days 17/03/20...

Kama sio Dhahabu atakuwa nani sasa! Maana zinaiva kweli na BT, na nadhani huwa anamtumia kwenye mission zake, dhahabu ni loyal sana kwa BT
Almas inatumika sana kwenye masuala ya uhamasishaji hasa kama kunakuwa na maslah ya wazee wa Mujini.
Bt kashaishika kampuni na yule jamaa ake mlevi wa bhange na mama ake anamiliki mashamba ya mirungi anaitaka ile kampuni iwe chini yake miaka yote,(patam hapo) na kwa mission ilivyo ngoma ishaelekea kibra.af ikiisha tunaanza kudeal na pua ndefu,alishindwa kumvuruga BT bt now ajipange sana his day are numbered.
Acha movie liendelee
 
Kongamano la kanisa la kiroho katika kampuni likiongozwa na mpakwa mafuta wao

Hilo kongamano wamejaa watu wa kiroho kutoka kila branch ya kampuni linafanyika katika kitovu cha kampuni wiki hii.
 
Kongamano la kanisa la kiroho katika kampuni likiongozwa na mpakwa mafuta wao

Hilo kongamano wamejaa watu wa kiroho kutoka kila branch ya kampuni linafanyika katika kitovu cha kampuni wiki hii.
Mwaka Jana Giza lilivyozidi ktk Nchi walirudi kati, ktk moyo wa Nchi kupeleka mashtaka na Mungu akajibu.

Shetani alipanga ampige MCHUNGAJI Ili sisi kondoo tupoteane, tutawanyike Hadi Kwa majirani tukihangaika!!!

Bt Mungu ni Mwema, pamoja na kupigwa mchungaji Bado hatukutawanyika. Maombi yalisaidia.

Tarajia tena mwakani HUKUMU Kwa waovu maana tumepeleka mashtaka Kwa MFALME ALIYE JUU ya yote kuhusu mateso raia na wenye HAKI wanayopitia.

Ameeeen.
 
Mungu ni mwema wakati wote
 
CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…