Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nipo seat ya mbele sambamba na derevaNiko seat ya nyuma ya dereva hapa
Kwa pamoja tunachungulia vizuri dereva anavyokata kona na shauku kubwa ni atasimama kituo kinachofuta au atapitiliza!!? Maana abiria wengi sana pale wanasubiri usafiri.Nipo seat ya mbele sambamba na dereva
Ngoja tuoneKwa pamoja tunachungulia vizuri dereva anavyokata kona na shauku kubwa ni atasimama kituo kinachofuta au atapitiliza!!? Maana abiria wengi sana pale wanasubiri usafiri.
Au katekwa?yoga ndiyo tumeamka turskesha nawe.
Yupo hata mie nimemuona, 😀Kumbe yoga bado yupo anachungulia chungulia humu ngoja tuendelee kuvuta subira
😄😁Huyu yoga jinsi anatuweka na shauku utadhanintunasuburia season mpya ya movie itoke aisee! Atayekuwa wa kwanza kuipata msaada wa kunitag tafadhali