Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Tulieni wakuu huko aliko yoga ni usiku wa manane wa jpili kuamkia Jtatu so mwamba kalala, akiamka tu anashusha mzigo.
Wale wapenda ubuyu nawasihii msilale leo maana mtakosa uhondo wa kwanza kwanza!
Wale wapenda ubuyu nawasihii msilale leo maana mtakosa uhondo wa kwanza kwanza!