The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mkuu sana FourTwoNet njoo huku. Ni kama ulikua na details za ndani kuhusu kampuni jirani na machagulio yao. Mambo yameenda kinyume na maelezo yako. Je kipi kimejiri? Board of directors wamezidiwa kete na toru? Ama wameamua kubadili gia angani?
Binafas karata yangu imeenda na matamanio yangu, nataman itokee na humu kampuni mwetu.
Binafas karata yangu imeenda na matamanio yangu, nataman itokee na humu kampuni mwetu.