Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mkuu sana FourTwoNet njoo huku. Ni kama ulikua na details za ndani kuhusu kampuni jirani na machagulio yao. Mambo yameenda kinyume na maelezo yako. Je kipi kimejiri? Board of directors wamezidiwa kete na toru? Ama wameamua kubadili gia angani?

Binafas karata yangu imeenda na matamanio yangu, nataman itokee na humu kampuni mwetu.
 
Kwa heshma ya yoga nangojea aangushe uzito ili nsiwaaribie wanaomngojea(nikiwemo pia)...ntakujibu mkuu. So far...bado kete zinaendelea
 
Guys, its been a long time, [emoji7][emoji7] As i promised you ........ Today saa tatu unusu!! Our "story" will be here!!! Thanks Love you!!!.....[emoji8]
Tupo tayari mkuu wetu na katibu yetu ya bodi hi ya jf mwananbodi mwandamizi bwan Pascal Mayalla Yuko humu kukingoja ushushe nondo zako

Kudoss timu rutoo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom