Dark days 17/03/20...

Hao deep state ni watu kama wewe na bt aliweza kuwaumiza kwa sababu alijua Siri zao yaani aliwajua.bt kwisha habari yake.

narudia tena unaijua dip state au unaisikia?
get the time to learn it, how it operate and may be the structure. You think is the small thing for someone to penetrate and lobby?...

If someone can lobby and manage the dip state, I am not sure if this nation would be alive todate. I hope you know the big land other side of lake Tanganyika and what used to happen time to time....
 
itakuwa anamaanisha dp state wa kijani labda.
 
itakuwa anamaanisha dp state wa kijani labda.
Amini na moobutu waliwezaje kuwa dictators Kwa level zile kama mifumo hiyo haiingiliwi?

Yaani tujisifu kulinda mipaka wakati ndani raslimali zinagawanwa holela na wananchi taxpayers wanateseka Kwa ufukara uliokithiri?

Intelligence ya kiuchumi haifanyi KAZI? Ni ulinzi wa mipaka pekee?
 
huyuhuyu BT aliyeiteka dip state, yaani dip state inatekwa na binadamu mmoja hahahaha, unaiju dip state? kuiteka dip state maana yake wewe ni zaidi ya

Kwa nchi yetu sidhani hata Kama Kuna hiyo deep state,Kama ipo basi wote ni wezi na walafi wa mali za umma.
 
Hapo nami hua nashangaa kwenye wizi wa raslimali za kampuni hua wako wapi au wanabariki hayo?
 
Nimekupata vizuri mkuu FourTwoNet. Je, sio Mr Freedom kamchezea Rao chenga la macho? Toru, alionekana mtulivu na asiye na wasiwasi wa mashaka yoyote ya kupata nafasi ya uceo.

Maana hizi heka heka za kotini ni kama drama flani za kupooza hisia hasi za 48.85%. Ni ngumu kwao kukubali uwepo wa Mr. Freedom kwenye mchakato na bado Rao akose awe wa pili.

Rejea nywele nyeupe 2015 drama za kwenda acc, zilikua kupooza hisia za vibwengo wa nyeupe na nyekundu.

Embu tusubiri ila sion kukiwa na dirty game baada ya kutangazwa ceo mteule.
 
Usikaze kichwa mfumo wowote uliotengenezwa na binadamu unaweza kuharibiwa.bt alipata access ya kuwajua Kwa kuwa alikuwa kijana wao Kwa hiyo kama unamjua adui wako ni rahisi kumsambaratisha.hapo unaambiwa bt alitengeneza deep state yake ili atawale Maisha yake yote.
 
Kuna kitu pengine hujakipambanua kwa uzuri unaotakiwa....
BT alikuwa ni mmoja wao na alijua everything kuhusu wao, na ndani yao alijipatia wafuasi wenzake na kuunda watu wapya watakao fuata nyanja hiyohiyo na ambao watakuwa royal kwake na alipokuja kuwa CEO alikuwa na power ×2 ..
Haikutumika nguvu ya mtu mmoja pekee bali za walio miongoni mwao.

Nadhani nitakuwa nimekuweka sawa mkuu
 
Yoga is right mifumo hiyo huvurugwa!!!!

Mfano wanawezaje kuhamisha pesa za walipa KODI kupeleka abroad na mifumo inaona na isichukue hatua?

Kabisa, hasa kwa kampuni kama ya kwetu inaonesha dipstate hakua powerful enough kupima prons and cons za mtu/watu kwenye mipango yake/yao dhidi ya kampuni. Swali la mwisho tusubiri wajuvi watupe majibu huenda sababu ipo/zipo. Kama riwaya ya yoga season 2 inaonesha watu wapo kwenye maandaliza ya kuutaka uceo wanakwapua fedha za kampuni kupitia customers. Je hao dipst hawana intelijensia yakinifu kulibaini mapema kiasi cha mtu kujichumia pesa nyingi na yupo kwenye nafas kubwa kwenye kampuni?
 
It makes sense. Labda tuseme dipst haikua powerful enough ki intelijensia mpaka kuhakiwa na kudhoofishana wenyewe. Wao njia yao hua ni kumuondo msaliti duniani, je kwa nini hakufanya hivyo? Maana lazima waligundua usaliti.
 
Mkuu

Anamaanisha yale yale ya Juvenile habyarimana na Buyoya walipoungua wakati akitua Rwanda!!?kutokuwa Ikulu yetu!!?

Tunasubiri kama ni Hivyo


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
No sir...Yangu yapo kiroho kabisaaa...Codes zangu hazioani na za hii story, am on my own ways...Nadhani Rabon ananielewa zaidi ya wengi humu...Ukitaka kunielewa basi lugha yangu nia ya kimbingu si za kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…