Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nimefungua tu Uzi nimekutana na story yako. Uongo mwingi sana, unatuona sie majuha sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tangu awali alisema ni riwaya..this is just a fiction story just enjoy it.Nimefungua tu Uzi nimekutana na story yako. Uongo mwingi sana, unatuona sie majuha sio?
Kwani kinachoshindikana kipi mkuu...tena ikiwezekana hapa hapa mzizimaNaona sasa imekua riwaya halisi ok.
Hahahaha kwamba PM anaweza teuliwa ubranch manager tena.?
hahahahaAsante mkuu, hii ya leo imekuwa riwaya zaidi tho sijaelewa codes vizuri!
Ushaambiwa hii ni hadithi tu, genye za nini?Nimefungua tu Uzi nimekutana na story yako. Uongo mwingi sana, unatuona sie majuha sio?
Nahisi tumepigwa na kitu kizitoWakuu episode iliendelea? Na je imefutwa mbona sioni, aliye na hii episode anisaidie tafadhali story imenipita hii
Naomben kwa aliefanikiwa kuikopi anitumie pmAkili yangu nyembamba haijui kung'amua mafumbo, wajuvi wana zengo mlojaaliwa ufahamu nitanzueni hiki kinachojiri nitashukuru sana asanteni[emoji1545][emoji818]
Umeisomea wapi mkuu mbona haionekani humu?Ila kuna kautofauti kwenye uandishi jmn