Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Guys yaaani you dnt know how it hurts to diss apoint you......

Nivile sometimes una meet a very huge changamoto, and una itatua ivo ivo, thanks to everyone and sorry to everyone!!

But you guys are grait!! Attacks ni nyingi but mungu juu ni mwema!! Trust me Tutaendelea!! Strong as ever!!

Nikipost tena na post mwendelezo tu!! Thanks and love you!!!!

A reminder: this is just a story nothing is true hapa!!
Yoga

Nikupe pongezi

Naomba nikiri wazi wewe unekuwa chachu kubwa ya mimi kurudi JF .na leo nimeingia Dimbani rasmi na hii ninsredi ya kwanza baada ya pause ndefu kiasi kuichangia.

Ninaungana na wote tunaokumbea kwa Mungu akupe afya njema.
 
Guys yaaani you dnt know how it hurts to diss apoint you......

Nivile sometimes una meet a very huge changamoto, and una itatua ivo ivo, thanks to everyone and sorry to everyone!!

But you guys are grait!! Attacks ni nyingi but mungu juu ni mwema!! Trust me Tutaendelea!! Strong as ever!!

Nikipost tena na post mwendelezo tu!! Thanks and love you!!!!

A reminder: this is just a story nothing is true hapa!!
Mm huwa kbla cjasoma content yako nailike Kisha naenda sas kusoma kudos Sana yoga we love you our daughter from ancient

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye Nuru imelishinda GIZA ktk KAMPUNI ya Jirani zetu nafasi ya u,-CEO.

Odii angeleta Kweli maendeleo ktk Nchi na wangeona mabadiliko ya haraka.

Tatizo kuu ni kuwa Odii anasimama upande wa GIZA.

Tolu anapendwa sana na raia, changamoto ni kuwa hatoweza yafikia matarajio ya raia wengi waliomwamini.

Anaingia Kwa TABASAMU kuu Kutoka Kwa raia kama BT alivyokuwa, lakini atatoka anachukiwa sana sababu kuu ni hatoweza wapa wananchi sawasawa na expectations walizoweka kwake kuwa juu zaidi ya kawaida.

Ataviziwa sana na wanaomzunguka Ili wamchonganishe na wananchi makusudi.

The Good thing Kwa Tolu ni amekaa upande wa kulia wa Mungu na Nuru.
Atahakikisha Mapenzi ya Mungu yanatimia ktk Nchi yake.

Kampuni yetu ijifunze pia kuwa anakuja pia wa aina hiyo ktk KAMPUNI yetu. Atakalia kiti asiyetoka ktk familia za KITAJIRI au WATAWALA, atainuliwa Kutoka CHINI, mavumbini na kuketishwa JUU atawale.

Ameeeen.
Mkuu,
Kwani Dalili za hayo uliyosema kwa kampuni yetu zinaonekana??
 
Wakuu

Ilikuwa story tu

Tukaanza ku decode codes vichwani !vichwa vikajiaminisha need kweli ya mafumbo!

Vipepeo vikashtuka Baada ya KUONA codes are decoded!wakaanza KUONA hatari kama Imani ikikua !!

Wakaanza kupambana na msimuliaji!

It's just a story not an issue guys!!

"Rasimu ya warioba irudi mezani sasa iwe katiba Mpya"
 
Mkuu,
Kwani Dalili za hayo uliyosema kwa kampuni yetu zinaonekana??
Zipo, Kuna mtu anaeandaliwa, Hana backup ya pesa za wazazi, hatoki ukoo wa Watawala, ana maono juu ya nchi. Huyo ndiye.

CATASTROPHY tunazopitia kama Nchi ndo zitamleta akalie kiti.

Anatunzwa Kwa MATUMIZI ya BAADAYE muda ukiwadia.

Amen.
 
Kiujumla watu wameanza kum Attack huyu dada huu ndo ukweli wenyewe namnukuu "attacks ni nyingi lkn mungu wa juu ni mwema"
Pole sana dada labda ujarb kubadili makaz uhame huko mwanza uje dar.
"Attacks" ni nyingi kwa Yoga kwa kuwa watu hawataki kuichukulia hii ni simulizi tu kama anavyosisitiza yeye mara kwa mara bali huuchukulia mtiririko wake kama vile ni bayana ya vitu wanavyofikiria wao katika ulimwengu halisi.
 
Uko sahihi lkn nakupinga kidogo, attack aiwez kuja hv hv bila ya kwa ukweli japo vtu vina relate na kampuni yetu
 
Jamani pamoja na muendelezo wa Riwaya ya YOGA lakini mnafatilia yanayoendelea kwa ndugu zetu wa magharibi(Burundi)? JAMANI tuombeni sana Amani ndani ya nchi yetu na uhuru tulionao na hii Amani tuilinde na kuidumisha kwajili ya vizazi na vizazi.
Siko upande wowote zaidi zaidi ninachojua Mi ni mzalendo kwa Taifa langu.
 
Hatimaye Nuru imelishinda GIZA ktk KAMPUNI ya Jirani zetu nafasi ya u,-CEO.

Odii angeleta Kweli maendeleo ktk Nchi na wangeona mabadiliko ya haraka.

Tatizo kuu ni kuwa Odii anasimama upande wa GIZA.

Tolu anapendwa sana na raia, changamoto ni kuwa hatoweza yafikia matarajio ya raia wengi waliomwamini.

Anaingia Kwa TABASAMU kuu Kutoka Kwa raia kama BT alivyokuwa, lakini atatoka anachukiwa sana sababu kuu ni hatoweza wapa wananchi sawasawa na expectations walizoweka kwake kuwa juu zaidi ya kawaida.

Ataviziwa sana na wanaomzunguka Ili wamchonganishe na wananchi makusudi.

The Good thing Kwa Tolu ni amekaa upande wa kulia wa Mungu na Nuru.
Atahakikisha Mapenzi ya Mungu yanatimia ktk Nchi yake.

Kampuni yetu ijifunze pia kuwa anakuja pia wa aina hiyo ktk KAMPUNI yetu. Atakalia kiti asiyetoka ktk familia za KITAJIRI au WATAWALA, atainuliwa Kutoka CHINI, mavumbini na kuketishwa JUU atawale.

Ameeeen.
Mkuu unabii unasemaje kuhusu Burundi???
 
Back
Top Bottom