My gosh.........
I wish i could show you the work that goes behind the scene my dear .................................
Hilo swali muulize SAMURAI, Mambo ya deep dark, deep state, watu wa mbali GIZANI nk.Mkuu unabii unasemaje kuhusu Burundi???
Anyway, Kuna wimbi linaanzia magharibi linakuja pande za huku kwetu, mawe makubwa yanageuka moto yanatishia kuiunguza bendera ya Mahali Fulani,Mkuu unabii unasemaje kuhusu Burundi???
Siyo kweli Mimi ni kama Wewe(Customer) ila nashukuru japo kwa ab's.Anyway, Kuna wimbi linaanzia magharibi linakuja pande za huku kwetu, mawe makubwa yanageuka moto yanatishia kuiunguza bendera ya Mahali Fulani,
Maombi yaendelee bila kuchoka Ili bendera isiungue, bt adhabu Kwa waongoza njia haiepukiki.
Ndugu OSORO ww ni mmoja wa wale jamaa, umeshindwa kuchakata Hadi uulize unabii???
Kwenye hii simulizi Warioba aliyehusika ni Warioba yupi?Akainyoosha akaunti ya yoga humu jukwaani!!?
Code tupu
""Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Warioba hahusiki na huu uzi!Kwenye hii simulizi Warioba aliyehusika ni Warioba yupi?
Burundi kuna nn mkuu ? Nn kinachoendelea huko ?Jamani pamoja na muendelezo wa Riwaya ya YOGA lakini mnafatilia yanayoendelea kwa ndugu zetu wa magharibi(Burundi)? JAMANI tuombeni sana Amani ndani ya nchi yetu na uhuru tulionao na hii Amani tuilinde na kuidumisha kwajili ya vizazi na vizazi.
Siko upande wowote zaidi zaidi ninachojua Mi ni mzalendo kwa Taifa langu.
Harakati za kumpindua CEO zimefunuka.Burundi kuna nn mkuu ? Nn kinachoendelea huko ?
Hawatoweza hao ni Ndugu ZETU wa kigoma!!Harakati za kumpindua CEO zimefunuka.
Mkuu ni nani!?Harakati za kumpindua CEO zimefunuka.
MkuuAnyway, Kuna wimbi linaanzia magharibi linakuja pande za huku kwetu, mawe makubwa yanageuka moto yanatishia kuiunguza bendera ya Mahali Fulani,
Maombi yaendelee bila kuchoka Ili bendera isiungue, bt adhabu Kwa waongoza njia haiepukiki.
Ndugu OSORO ww ni mmoja wa wale jamaa, umeshindwa kuchakata Hadi uulize unabii???
BT, DS ya kwetu na New CEO wapo live, pia sura ya BT inasadifu lipo jambo Halipo sawa Hadi anashauri uhuru wa members na sera ziboreshwe Ili kuwe shwari.Mkuu
Kuna mdau kasema kwamba tayari vuguvugu limeshaanza rasmi la mapinduzi huko west!hasa huko tunakoambiwa tuhamie kukimbia Tozo!!
Ndio mwanzo wa unabii kutimia!?
"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Jamani pamoja na muendelezo wa Riwaya ya YOGA lakini mnafatilia yanayoendelea kwa ndugu zetu wa magharibi(Burundi)? JAMANI tuombeni sana Amani ndani ya nchi yetu na uhuru tulionao na hii Amani tuilinde na kuidumisha kwajili ya vizazi na vizazi.
Siko upande wowote zaidi zaidi ninachojua Mi ni mzalendo kwa Taifa langu.
Sijajua bado mkuu. Mwenyewe CEO ametoka hadhari na kusema kuna jaribio la mapinduzi dhidi yake. Amesema ajitokeze apambane nae kwa msaada wa MUNGU atashinda.Mkuu ni nani!?
Kwani Godfrod Neyombare karudi tena kivingine!?
"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Leo nimeongeza na RAFIKI YANGU mmoja hivi YEYE ni muha asili ya kongo!!!Sijajua bado mkuu. Mwenyewe CEO ametoka hadhari na kusema kuna jaribio la mapinduzi dhidi yake. Amesema ajitokeze apambane nae kwa msaada wa MUNGU atashinda.
Jana akaitisha bunge haraka akamuondoa waziri mkuu na kiti akapewa waziri wa ulinzi na usalama.
Burundi kuna nn mkuu kinackinachoendel
Hata hii hii inayokufanya unachati hapa jamii forum Nigga.Hivi kuna Amani gani unayoiongelea? Labda kama unalia kivulini na kutembelea vx na kila kitu bure, vinginevyo kwa watu wengi hakuna amani kabisa!
Hata hii hii inayokufanya unachati hapa jamii forum Nigga.
Kwani Mogadishu ha
Basi we nenda Mogadishu tuachie hii yetu ndogo tumezoea,ndo kwanza najaza Maranda jikoni banda langu la mihogo linakesha hata wasi sina.Kwani Mogadishu hawachati?
BT, DS ya kwetu na New CEO wapo live, pia sura ya BT inasadifu lipo jambo Halipo sawa Hadi anashauri uhuru wa members na sera ziboreshwe Ili kuwe shwari.
Tukumbuke pia brnd ni mtoto wetu kbs, anatuhusu.
Pia anavikumbusha vyombo kujidhatiti, kulinda amani kwetu na majirani. Naamini watakaa Kujadili baada ya shughuli kwisha.
Tanzania iko salama sasa kwa hili tabasamu la ushindi,jamani karibuni kijiweni kwangu nauza mihogo,viazi vitamu,Magimbi na maboga ya kuchemsha na chai,uji na juisi😬Haya mambo mazito mtu mkubwa wa ndani huwezi ongea ovyo.