Dark days 17/03/20...

The problem is they dont care about that at ALL
 
Ona tapeli linavyowalisha watu udanganyifu.

Huyo KIKWETE hana uwezo wala nyenzo yoyote ya KUMUUA RAIS WA NCHI.

Naona unajaribu kufunika funika ukweli kwa kutengeneza uzushi na vijistori vya kuhadaa nyumbu.

Tunakucheki tu tunasema Hiiiiiiii....
Ndio shida ya vijaa wa mirembe kutokumaliza dozi..yoga kasema hii ni riwaya wewe nawe unaleta upuuzi wako humu..bora tu urudi fbk.

#MaendeleoHayanaChama
 
The problem is they dont care about that at ALL
Umeona namna viongozi wetu hawana maono/vision?wameanzisha wenyewe tozo Sasa wanafuta baada ya muda.hawa ndo viongozi wetu kuna msemo afrika kwamba wenye mamlaka hawana vision lakini wasio na mamlaka Wana vision/maono.kama tutaendelea kuwa na Aina ya viongozi kama hawa ambao hawana vision tutaendelea kuwa nchi masikini.
 
Hii story nzuri sana kuifutilia japo inahuzunisha,inaumiza na inakera sana. Nakumbuka the old CEO and king Maker alivyochora ramani kuiangusha Taasisi ya magonjwa ya moyo (THI ) mwaka 2012 kupitia mfuko wa hifadhi ya jamii Nssf kwa kisingizio cha mgogoro wa kimaslahi baina ya pande hizo mbili. Kilichotokea na nikichokisikia, najua na Mola pekee ndiye ajuaye kilichotokea ndani yake hadi kufilisiwa kwake.hakika Mungu ni Mkubwa na ndio mwenye haki ya kweli. Nasubili mwendelezo wake
 
Nan huyo aliefilisiwa?ebu tumegee kidogo kwa code eleweka
 
Yule mzee aliniuma sana! Amekuja kuwekeza nyumbani akaishia kwenye complications zilizom frustrate sana na kuishia kufariki.
 
Nan huyo aliefilisiwa?ebu tumegee kidogo kwa code eleweka
Aliyefilisiwa ni Dr.Ferdinand B.Masau, aliyekuwa daktari bingwa wa magonjwa ya moyo nchini na na mwanzilishi wa Taasisi ya magonjwa ya moyo alimaarufu Tanzania Heart institute hospital ( THI) iliyokuwa karibu na viwanja vya Leaders club kinondoni.bila shaka umeelewa mkuu.
 
Unaota?
 
Moshi mzito kutanda angani chanzo nn Hadi kusababisha vilio? Toa escape route!!!
 
Asante sana ,ndio uzuri wa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…