passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Naota niniUnaota?
Wewe unataka waafrika tuendelee kuwasindikiza watu?wewe unakataa kuwa Tanzania tunatatizo la uongozi?angalia Sasa nchi za Asia zinazipita nchi za ulaya kiuchumi wakati waafrika tunakila Sababu na resources za kufika huko ni suala la kuleta uongozi Bora Tu.Unaota?
Tumampenda wengi, sema hatujasema, lakini huyu Mzee ni mtu Muungwana sana, Mungu amlindeNampenda pia nampenda Sana Mungu amuweke kwa ajili yetu wachache tunaompenda[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tongotongo zikikutoka hutaandika namna hii hata mstari mmoja tu...Wewe unataka waafrika tuendelee kuwasindikiza watu?wewe unakataa kuwa Tanzania tunatatizo la uongozi?angalia Sasa nchi za Asia zinazipita nchi za ulaya kiuchumi wakati waafrika tunakila Sababu na resources za kufika huko ni suala la kuleta uongozi Bora Tu.
Ngoja tuone atatuletea chuma kipi 2025, kwa vyovyote vile atafanya jambo, namkubali sana, hawezi ruhusu tuendelee hiviTumampenda wengi, sema hatujasema, lakini huyu Mzee ni mtu Muungwana sana, Mungu amlinde
Hiyo ilishapangwa hivyo tokea 2014.Ngoja tuone atatuletea chuma kipi 2025, kwa vyovyote vile atafanya jambo, namkubali sana, hawezi ruhusu tuendelee hivi
Kwamba?Hiyo ilishapangwa hivyo tokea 2014.
Mrithi baada ya mtagulizwa, adumu kwenye urithi hadi mwisho wa mhula wa pili wa mtagulizwa.Kwamba?
Jinga wewe!View attachment 2365075yoga shusha vitu kabla Zungu,Mwigulu na Nape hawajafanya yaooo[emoji39][emoji39][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Umeandika kwa uchungu sana. Binafsi naunga mkono hoja yako. Ubarikiwe!Wewe unataka waafrika tuendelee kuwasindikiza watu?wewe unakataa kuwa Tanzania tunatatizo la uongozi?angalia Sasa nchi za Asia zinazipita nchi za ulaya kiuchumi wakati waafrika tunakila Sababu na resources za kufika huko ni suala la kuleta uongozi Bora Tu.
Kama ni hivyo basi chuma alikuwaga ashaijua hatma yake, na bitozo aachane na harakati za kupindua meza, mchezo ushapangwa au sio?Mrithi baada ya mtagulizwa, adumu kwenye urithi hadi mwisho wa mhula wa pili wa mtagulizwa.
πππ Chief
Kikwete yupi tena? Mbona kweny riwaya kikwete sjaona?Ona tapeli linavyowalisha watu udanganyifu.
Huyo KIKWETE hana uwezo wala nyenzo yoyote ya KUMUUA RAIS WA NCHI.
Naona unajaribu kufunika funika ukweli kwa kutengeneza uzushi na vijistori vya kuhadaa nyumbu.
Tunakucheki tu tunasema Hiiiiiiii....
Unataka kuniambia nini nachosema hakiwezekani?Tongotongo zikikutoka hutaandika namna hii hata mstari mmoja tu...
Sina uhakika unaweza kunielewa kwa kiwango kikubwa kiasi gani,lakini tongo tongo zikikutoka utanielewa...