Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Wewe unataka waafrika tuendelee kuwasindikiza watu?wewe unakataa kuwa Tanzania tunatatizo la uongozi?angalia Sasa nchi za Asia zinazipita nchi za ulaya kiuchumi wakati waafrika tunakila Sababu na resources za kufika huko ni suala la kuleta uongozi Bora Tu.
Tongotongo zikikutoka hutaandika namna hii hata mstari mmoja tu...

Sina uhakika unaweza kunielewa kwa kiwango kikubwa kiasi gani,lakini tongo tongo zikikutoka utanielewa...
 
IMG-20220922-WA0008.jpg
yoga shusha vitu kabla Zungu,Mwigulu na Nape hawajafanya yaooo😋😋😬😬😬😬😬
 
Wewe unataka waafrika tuendelee kuwasindikiza watu?wewe unakataa kuwa Tanzania tunatatizo la uongozi?angalia Sasa nchi za Asia zinazipita nchi za ulaya kiuchumi wakati waafrika tunakila Sababu na resources za kufika huko ni suala la kuleta uongozi Bora Tu.
Umeandika kwa uchungu sana. Binafsi naunga mkono hoja yako. Ubarikiwe!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom